Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Umenikumbusha baiskeli ya Phoenix, mzee alikuwa nayo nakumbuka alikuwa hadi anailipia ushuru sh 200 kama sikosei.

Aliinunulia hadi kufuli lile anafunga funguo anakaa nayo. Akukute umechezea au umeharibu [emoji3]
Ilikuwa noma sana mkuu
 
Tuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo.

Naanza na Sabuni ya Mbuni…
Sabuni ya KOMOA, MSHINDI, GEISHA

Ndala za umoja
Magari ya shule za sekondari za serkali
Nidhamu kwa watumishi wa umma
Malezi bora
 
-Mtungi wa maji ya kunywa
-Kibuyu cha kuhifadhi maziwa
-Chungu cha kupikia chakula,msosi
wake mtamu sana
Kwa bibi alikuwa na mtungi huo maji ni baridi na safi balaa. Ule mtungi ulikuwa balaa sana
 
peni za bic

mashati ya bushoke

Juisi ya sobo ya kuchanganya na maji

viatu vya fokona (four corner)
Kuna christmas moja nilipiga jeans na shati ya Bushoke niliwakimbiza sana mtaani madogo wenzangu
 
Pens:
splendid, Beifa, biki, cello, finegrip(za sasa sio nzuri), multi ink pen(red, blue and black).

Radio:
walkman zile zina kanda zilikuwa zinawahi kufa spika na sehemu ya kanda na zile radio za CD zilikuwa round shape unatembea nayo na earphone flan nyeusi zenye nyaya line(L shape socket).

aitkenson na Kichbo
View attachment 2720762
hlf console
View attachment 2720766
Nawapiga hela washamba enzi hizo
View attachment 2720767
Ukipuliza hii nusu saa we kidume
more to come
We jamaa umenikumbusha vitu vingi sana aisee. Noma sana
 
Chemli, last born nilimuuliza unaijua hii??

Akaniambia na mwenyewa hauijui hiyo sema inaitwaje?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom