Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malisa alikuwa headmaster Moshi Technical kuanzia 1998, alipokea usukani kutoka kwa Kimario ambaye naye alipokea kutoka kwa Malale. Ni kweli mke wake alikuwa madam Orbelin. Nzohi alikuwa Mwalimu wa physics Pugu secondary kwenye miaka ya 2000’s hivi! Kwa sasa sijui yeye yupo wapi au kama yupo hai. Mpande nimeona wadau wakisema yupo anaishi pale Moshi mjiniMkuu Isack Malisa alikuwa mkuu shule gani? Mi nilimkuta Moshi tech. 1981 - 1984. The man was very smart. Nasikia alikuja kumuoa madam Oberlin wa biology. Waalimu wetu Hawa walitu-shape vizuri, Mungu awabariki, awarehemu waliotangulia. Kina Mpande, Nzohi, Kasenge, headmaster Malale etc.
Mkuu ulikuwa from four ipi? Form four 1 ya kina Peter Ngalya, 2 ya kina Anjela Joseph, 3 ya kina ya Yule kiranja masai, 4, ya kina Hamida aka jamaa wa Fitter and Turner, 5 ya kina Ronald Estomih aka mjomba au 6 ya kina McDonald?2002
🙏Malisa alikuwa headmaster Moshi Technical kuanzia 1998, alipokea usukani kutoka kwa Kimario ambaye naye alipokea kutoka kwa Malale. Ni kweli mke wake alikuwa madam Orbelin. Nzohi alikuwa Mwalimu wa physics Pugu secondary kwenye miaka ya 2000’s hivi! Kwa sasa sijui yeye yupo wapi au kama yupo hai. Mpande nimeona wadau wakisema yupo anaishi pale Moshi mjini
Hivi Fred Dominick yuko wapi? Alikuwa hatari sana form I hadi IIIMkuu ulikuwa from four ipi? Form four 1 ya kina Peter Ngalya, 2 ya kina Anjela Joseph, 3 ya kina ya Yule kiranja masai, 4, ya kina Hamida aka jamaa wa Fitter and Turner, 5 ya kina Ronald Estomih aka mjomba au 6 ya kina McDonald?
ShkamooMkuu Isack Malisa alikuwa mkuu shule gani? Mi nilimkuta Moshi tech. 1981 - 1984. The man was very smart. Nasikia alikuja kumuoa madam Oberlin wa biology. Waalimu wetu Hawa walitu-shape vizuri, Mungu awabariki, awarehemu waliotangulia. Kina Mpande, Nzohi, Kasenge, headmaster Malale etc.
Hii "alale anapostahili" tunatumia kwa watu waliokuwa waovu wakati wa uhai wao.. sasa hadi kwa mwalimu naona sio poa boss.Mr. Mshana Academic Master waliosoma Mbezi wanamjua huyu Mzee alikua mkali km pilipili na Mara ya mwisho naenda nilisikia alifariki kwa Kisukari, R.I.P ulale unapostahiri mwalimu
Kwani Karume kuna Dom X (10) Mkuu.Mkuu mi ilikuwa Dom X pale Karume. Vipi we ulienda kukaanga bisi kule orchard? Misele ya dom 0 vp?
Shkamoo
Duh, malisa hadi 2007 nilimuacha pale TechnicalMkuu Isack Malisa alikuwa mkuu shule gani? Mi nilimkuta Moshi tech. 1981 - 1984. The man was very smart. Nasikia alikuja kumuoa madam Oberlin wa biology. Waalimu wetu Hawa walitu-shape vizuri, Mungu awabariki, awarehemu waliotangulia. Kina Mpande, Nzohi, Kasenge, headmaster Malale etc.
Duh...apumzike kwa amani!Katondolaa ameishafariki tangu 2015
Yupo A town, mara ya mwisho nilionana naye DSM around 2005 hivi!Hivi Fred Dominick yuko wapi? Alikuwa hatari sana form I hadi III
Wengi hufa vifo vibaya pia km maradhi ya moyo na kisukari au hupitia mateso tu km msongo wa mawazo,Walimu wakali hawamalizagi ualimu wao kwa amani, sijui kwa nini?
Kuna siku alinifanyia kitu kimoja sisahau maisha yangu yote, ndio maana nasema alale anapostahiliHii "alale anapostahili" tunatumia kwa watu waliokuwa waovu wakati wa uhai wao.. sasa hadi kwa mwalimu naona sio poa boss.
Ndanda mwaka gani mkuu nimepita hapoKuna mwamba anaitwa Morega Simon Mongate a.k.a double M, alikuwa mkuu wa Ndanda high school, Masasi sasa hivi nasikia amekuwa afisa elimu Kagera huko
Huyu mwamba alikuwa anaogopwa Hadi na staff wenzake, alikuwa anapenda usafi balaa yaani Bora ukutwe bweni umedodge kipindi kuliko ukutwe haujasafisha eneo lako la usafi
Mwalimu akimkuta darasani anafundisha wakat darasa likiwa chafu alikuwa anamuokotesha makaratasi huku wanafunzi wanaangalia
Usiombe ukamatwe na simu au local
Dah umenikumbusha hao wazee ni noma Kuna mtu anaaitwa Hardson Lwago .. Mwenyewe anajiita mtoto wa kiume mgumu Lwago anakwmbia siku ukiona amevaa Buti ujue ni siku ya kuua kenge. Kuna kipengele yy anachapa pale pale alipochapa fimbo ya kwanza, zote zinatua sehemu moja.Nalimi a.k.a kocha wa Ifunda Tech Sec School
Mwakalindile a.k.a Brigedia Ifunda Tech Sec School
Hawa jamaa, inapokuja wakati wa wao kuwa walimu wa zamu, ni kwamba assembly hakuna kuchelewa..!! Ole wako