Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna stori kwamba ilikuwa bora usahau ada kuliko usahau jembe unapoenda kujiunga Kantalamba Secondary. Ni kweli?Kanyengele-Kantalamba Secondary
Na mwalimu Andrew Katto vp na upunga wake?Hatari sana..jamaa alikua mnoko kweli..nakumbuka ule wimbo wa mchakamchaka "man to man man to man....kipara chake kina magamba[emoji28][emoji28]...
Na Brother Lyimo (RIP) Majengo Sec jaman..that man duh! alikua anainyoosha shule si kidogo.
Kabla ya huyo alikuwepo marehemu Ambangile Mwambungu hapo Azania ambae aliwahi wachapa viboko vijana wa Kiswahili Shule nzima!!Mchwa mpaka.....Azania
Looh! Bad news. (kama ni kweli)May his soul rip.Mpande wa Moshi Tech. Ameshafariki. RiP. Alikua mwl. Mzuri sana wa michezo na aliipenda kazi yake ya ualimu na michezo
Kwanini nyie msihamie jukwaa la watoto au wajukuu?Hao inabid jf waondolewe mababu sana
Kuna mmoja anasimulia shule 1969 huko
Babu kabisa sio baba tu
Karume ni Dom 31 to 40. Sikumaanisha dom 10. Nilificha tu, kiukweli nilikuwa Dom 34.Kwani Karume kuna Dom X (10) Mkuu.
Karume ni Dom 31 to 40. Sikumaanisha dom 10. Nilificha tu, kiukweli nilikuwa Dom 34.
Mmh..nlikua simuelewag kwakwel yule kaka..alikuaga class ticha wetu alitupelekeshaga nae..Na mwalimu Andrew Katto vp na upunga wake?
Apumzike Kwa aman.Alikua anachapa mno alafu hachagui pakuchapa
It’s true Mabagala amefariki, nimepewa hii taarifa na mwalimu wa Pugu just juziR. I. P Mabagala
Kanyengele mseminary yule alikuwa mkorofi kwelikweli ,mwenyezi Mungu amrehemu (R.I.P)Kanyengele-Kantalamba Secondary
Kuna thread humu ulishaanzishwa.Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Kwahiyo?Kuna thread humu ulishaanzishwa.
, 😂😂Mwalimu Katabaro alikuwa shule ya sekondari Swilla mpaka 2013 sasa hivi yupo Pandahili mpaka alikuwa anaitwa "Bwana Pepsi" yaani usithubutu kukutwa.