Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
Maiko Katembo alikuwa na kipindi chake pia cha mkoa kwa mkoa. Alikuwa na mbwembwe nyingi ili wasikilizaji wampende maana alijua ngoma za makabila hazina wapenzi sana!!Ama kweli siku zimesonga mbele!!!Pia kulikuwa na kipindi cha MISAKATO kila Jumamnosi saa 3 asubuhi, kulikuwa na nyimbo mpya za wiki. Watayarishaji na waongozaji wa kipindi walikuwa wanapokezana Uncle J Nyaisanga, Michael Katembo, na Henry Michael Libuda. Walikuwa pia ni watayarishaji na waongzaji wa kile kipindi cha Club Raha Leo. wote hao ni marehemu, miaka inakwenda loh.
Vv