Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Jonh Walker na Ras Lion ukisikiliza ngoma zao ni burudani sana
 
Endreeeea
 
Hapa Sos B umemuweka na watu wasio wake..... Muweke na Kina Sugu Mikononi mwa Polisi, Muweke na Kina Diplomatz

Top C na Ulofa wake si 2007 huko kama sio na 06,JI na kidato chake kimoja majuzi tu.... hapo hata vitoto vya Afu mbili vinaujua.
 
Kidole kimoja hakivunji chawa.Mambo mazuri yako mbele kwa mbele.Mbeleeee kwa mbeleee-Dj Yusuph .
 
Uzi upo page 3 lakini sijaziona bado

•Kamanda
•Barua
by Daz Nundaz
 
Chelea man - Msela, K-sal - mwana mkiwa,
 
Kuna yule mwamba aliyeimba SINA DEMU,,,, Yule jamaa asilimia 99.99 ya mashabiki wanaifahamu tu ngoma lakini sura yake na jina lake imebaki kuwa siri yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…