Tujiulize, vita ya uchumi tunapigana na nani?

Wale wasioendana na matakwa yetu ndipo huitwa "mabeberu" (wenye hujuma dhidi ya maendeleo yetu sababu wamegoma kuwa nasi ktk gurudumu la maendeleo-Hapa tunasema kuna vita vya kiuchumi).....
Lakini, mabeberu hao wakiwa pamoja nasi ktk gurudumu la maendeleo, basi tutasema ni "waisani wazuri wa maendeleo yetu" (hakuna vita ya kiuchumi hapo).
 
Hivi we jamaaa una akili ??? Ningekua na mamlaka ningechukua vyet vyako na kukudisqualify au kuchana!!?...
Hufikiriii hata kidogo.

Vita ya uchumi c lazima iwe Kama ilivo ya USA NA CHINA....hyo iko popular kwasabab wote n wababe.....
Unafikir CHINA inapgana kiuchumi na USA PEKEE....pole
.....ebu nikufungue CHINA inavita ya kiuchumi na nchi za Asia, India,Japan, Australia na zingine ndogo ndogo...mind you Kila nchi inataka kua the top in economic waraffars


Tz mfano nchi maskin Vita zetu tunazopgana n na nchi za Africa ambazo zilituzid au tulkua nazo sawa Sasa zinaona tunaataka kuzpta...esp Kenya...

Nchi za mabeberu.....zilizokua zinainyonyonya zinapoona nchi inaimarika zinaanza kuipga Vita Kwan watakosa sehem yakunyonya malighaf....mf Canada,USA, na EU....ujue Kama nchi iliyo na resources inapojalibu kuinuka n Vita kubwa Kwan inaathiri waliokua wanapata bwerere
 
Alafu utakuta umemaliza chuo kikuu na una digrii!

Kwa akili yako unafikiri vita ya kiuchumia inapiganwa na mabunduki na vifaru?
Kwaio wewe ndo ambae haujafika chuo kikuu au?
 
Hii vita ni siyo lazima upigane ww na taifa jingine inaweza ikawa ni vita kutoka mataifa yaliyo juu kiuchumi yanapigana ila effect zikakupata indirectly so ni jukumu lako pia wewe kupigana indirectly ili hata madhara yasikupate ushajiandaa tayari
 
Jibu swali tunapigana na nchi au Taifa gani hii vita?

Maelezo mareefu hujajibu hata swali husika.

Ungekuja na jibu pamoja na prove ya jibu lako the ikaanza kubwawaja.


Tanzania tunamali ghafi gani ambayo Mataifa mengine yanategemea na yakiyakosa kutoka Tz hayawezi kupatikana?
 
Anapigana na matajiri wa kizalendo wa Tanzania. Ndio maana anajiita mtetezi wa Wanyonge.

Tunaweza kupigana na Muingereza, Mmarekani, Mcanada ..au ni Mkenya tunapigana nae? Tunawaweza..

Mtu anaesupport budget yako unapingana nae kiuchumi..

Yaani hizi propaganda Ni mfu, hoja Hakuna..
 
Nyumbu tunapumbazwa sana na hii vita, wakati it's just a propaganda.
 
Alafu utakuta umemaliza chuo kikuu na una digrii!

Kwa akili yako unafikiri vita ya kiuchumia inapiganwa na mabunduki na vifaru?
Zimbabwe vs Nchi za magharibi ulisikia kufyatuliwa kwa risasi? China vs America umesikia Vita vya kijeshi?
 
Wanatafuta kichaka cha
Wanatafuta kichaka cha kujificha Jangwani/Mbuni anaficha kichwa mchangani.Hiyo ni propaganda ya kuwahadaa Wananchi ili tusiwaulize kwa nini hali inazidi kuwa tete kimaisha kwa waliowengi.
Utasikia wanapambana na mabeberu,hivi Tanzania ndiyo iogope beberu?Kwani Sisi mbuzi jike?Hao hao mnaowaita mabeberu mkitaka misaada yao mnawaita wafadhil/wadau wa maendeleo.
Bora wangesema ukweli kwamba wameshindwa kuipeleka nchi hii Kyle inakostahili.Wapisheni wengine watuongo
 
Hii vita kumbe tunapigana na chadema.
 
Nashangaa sana kuona watu wazima mmeshupaza shingo kulaumu upuuzi.

Kwamba kama kuna shirika la viwango nchini TBS, kwa nini mkuu wa nchi atoe tahadhari juu ya barakoa ambazo zinaweza kuwa na madhara kwa watumiaji?

Hivi hamjui kuwa pamoja na kuwa na shirika la viwango nchini, bidhaa nyingi feki huwa zinaingia sokoni kupitia njia za panya. Na huwa zinaghundulika baada ya muda, tena mpaka msako ufanyike?

Je, mnadhani hakuna watu wanaoionea husuda Tanzania kiasi cha kuweza kuweka madhara kwenye barakoa zinazoweza kuingizwa nchini kwa njia za panya?

Mmesahau hata USA ilipewa msaada na China na kugundua kuwa barakoa zilikuwa hazina ubora? Mmesahau?

Kuwa na shirika la viwango ndio sababu ya kutopata vifaa visivyo na ubora? Hapana, sababu njia za panya ni nyingi . Hii sio sana
sababu ya kutochukua tahadhari.

Nadhani mmepewa tahadhari ili kuwa na uhakika wa kujilinda ni bora utengeneze cloth mask yako. Maana unaweza ukawa Karagwe, Njombe,Hai na mtu wa nchi jirani akakupa mask toka nje kumbe haina kiwango na ina upupu.

Maoni; Tuache kuwa wakosoaji wa kila kitu, kisa tu tuna chuki za kisiasa. Uchaguzi umepita tuwe na umoja.
 
Tanzania ndiyo yenye uchumi unaotamaniwa na mabeberu duniani siyo?? Akili yako kama ya ngiri
 
Kwa hiyo tuwe kama matahira ya ndio mzee au tuwe makondoo.wewe mwenyewe umepata nafasi ya kuchangia hapa na kueleza mtazamo wako kutokana na kuwepo kwa mtu anaye itwa Mkosoaji.
 
Unatumia nguvu sana kupitisha ujinga wako ulikuwa unapenda watu wafe?

Nilijua utapenda rais wako kuwaambia watanzania wafate taratibu za ugonjwa huu.!!

Kama hapa unapigania chama nchi yetu itafikia nchi za wenzetu? Kuna mambo yakutetea ndani ya Chama lkn sio ujinga huu
 
Kwa hiyo tuwe kama matahira ya ndio mzee au tuwe makondoo.wewe mwenyewe umepata nafasi ya kuchangia hapa na kueleza mtazamo wako kutokana na kuwepo kwa mtu anaye itwa Mkosoaji.

Mataga wana vichwa vigumu!!
 
kuna baadhi ya watu wakiambiwa na jiwe watoe t.go ndo kinga ya "kolona" watatoa fasta bila kuhoji kwakuwa tu nikiongozi amesema!

mleta mada ni mmojawao!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…