Ccm mchambaji weweππππ nawe jifunze kuunganisha matukio vzr na visa vyako/maelezo ili yawe yanaeleweka. Unafungua uzi bila ata sababu ya msingi kisa tu umekula ukashiba.Kaanze chekechea,jifunze kusoma
Kosa ni kutokujua kusoma kwako,pole.Ccm mchambaji weweππππ nawe jifunze kuunganisha matukio vzr na visa vyako/maelezo ili yawe yanaeleweka. Unafungua uzi bila ata sababu ya msingi kisa tu umekula ukashiba.
Madhara ya kuzaliwa una hormone za kike. Vipi mbelgiji huna contact zake?kuna baadhi ya watu wakiambiwa na jiwe watoe t.go ndo kinga ya "kolona" watatoa fasta bila kuhoji kwakuwa tu nikiongozi amesema!
mleta mada ni mmojawao!.
Sio kila suala unaweza kulielewa. Sometimes unakaa kimya.Kwamba nchi za magharibi zote zianzishe vita ya kiuchumi na Tanzania? Kwa uchumi upi?
Hivi Tanzania ikisema kuna vita ya kiuchumi dhidi yake nchi kama Afrika Kusini ama Nigeria zisemeje?
Vita ya uchumi itakua kwenye barakoa tu lakini risasi, bunduki, nguo, microphone anazotumia, magari, vifaa vya ulinzi vinavyomlinda tena vinavyotumia mtandao, simu na kila kitu kinachotoka nje kwa mabeberu vyenyewe havihusiki kwenye vita vya kiuchumi?
Ni wajinga tu wanaweza kununua hizo ngonjera.
Hayo madhara madogo ya Covid-19 tuliyopata ni kwa kiwango gani?Jikite kwenye mada. Lakini nakukumbusha tu hata hapa Africa hawafurahi kuona hatujapata madhara makubwa kutokana na Covid 19.
Kosoa kwa kutumia akili, sio kukosoa tu ili uonekane unapingana na kila kitu.Kwa hiyo tuwe kama matahira ya ndio mzee au tuwe makondoo.wewe mwenyewe umepata nafasi ya kuchangia hapa na kueleza mtazamo wako kutokana na kuwepo kwa mtu anaye itwa Mkosoaji.
Ulitaka kuona watu wanazikwa kama Brazil?Hayo madhara madogo ya Covid-19 tuliyopata ni kwa kiwango gani?
Kama vita imeanzishwa na nyie hiyo ni sawa kabisa.Nashangaa sana kuona watu wazima mmeshupaza shingo kulaumu upuuzi.
Kwamba kama kuna shirika la viwango nchini TBS, kwa nini mkuu wa nchi atoe tahadhari juu ya barakoa ambazo zinaweza kuwa na madhara kwa watumiaji?
Hivi hamjui kuwa pamoja na kuwa na shirika la viwango nchini, bidhaa nyingi feki huwa zinaingia sokoni kupitia njia za panya. Na huwa zinaghundulika baada ya muda, tena mpaka msako ufanyike?
Je, mnadhani hakuna watu wanaoionea husuda Tanzania kiasi cha kuweza kuweka madhara kwenye barakoa zinazoweza kuingizwa nchini kwa njia za panya?
Mmesahau hata USA ilipewa msaada na China na kugundua kuwa barakoa zilikuwa hazina ubora? Mmesahau?
Kuwa na shirika la viwango ndio sababu ya kutopata vifaa visivyo na ubora? Hapana, sababu njia za panya ni nyingi . Hii sio sana
sababu ya kutochukua tahadhari.
Nadhani mmepewa tahadhari ili kuwa na uhakika wa kujilinda ni bora utengeneze cloth mask yako. Maana unaweza ukawa Karagwe, Njombe,Hai na mtu wa nchi jirani akakupa mask toka nje kumbe haina kiwango na ina upupu.
Maoni; Tuache kuwa wakosoaji wa kila kitu, kisa tu tuna chuki za kisiasa. Uchaguzi umepita tuwe na umoja.
Kaa kimya.Kama vita imeanzishwa na nyie hiyo ni sawa kabisa.
Ila kumbuka mdomo ninaoKaa kimya.
Usituletee pumba.Ila kumbuka mdomo ninao
Tujadiliane pumba ni zipi na wale wanaozileta humu.Usituletee pumba.
Upo sawa?Tafuteni umoja na wauaji wenzenu.
Kwa hiyo umeropoka tu na huelewi ni madhara gani tuliyopata Tanzania?Ulitaka kuona watu wanazikwa kama Brazil?
Tumia akili yako kuchekecha mambo,kama Tanzania hakuna madhara kama Brazil basi kaa kimya.Kwa hiyo umeropoka tu na huelewi ni madhara gani tuliyopata Tanzania?
Bwashee si mmeambiwa msi-like wala ku-comment taarifa ambazo hazijathibitishwaMwenyekiti wa Chadema alivaa gloves za mtumba kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.
Umeyapimaje hayo madhara wewe bwege?Tumia akili yako kuchekecha mambo,kama Tanzania hakuna madhara kama Brazil basi kaa kimya.
Nenda shule kaanze chekechea.Umeyapimaje hayo madhara wewe bwege?
Acheni kuunga mkono kila pumba anazotoa Meko, sometimes watendeeni haki wazazi wenu kwa vile waliwapeleka shule.Nashangaa sana kuona watu wazima mmeshupaza shingo kulaumu upuuzi.