Kwa Dar es Salaam nawapata wapi mkuu. Kuna duka lipo Mlimani City wanauza perfume, almost linatazamana na duka la miwani (pembeni ya Shoppers), aisee sio poa.Hapo ni mwendo wa oil perfume mzee, zile za wasyria nahisi ni kuanzia 40k kwa bei mpya elekezi...
Kwa Dar es Salaam nawapata wapi mkuu. Kuna duka lipo Mlimani City wanauza perfume, almost linatazamana na duka la miwani (pembeni ya Shoppers), aisee sio poa.
Nitaomba niende kwa uyu, hao wa Mlimani unalipia vingi hadi kuwaona warembo.Emascent yupo Sinza
Nitaomba niende kwa uyu, hao wa Mlimani unalipia vingi hadi kuwaona warembo.
Maduka ya Mlimani yote nimeyajua uwa napita kama siyaoni.
Kwa anaeanza, nianze na oil au Syrian perfume?
Kwahiyo kwa 30-40 napata kitu kizuri.Bei za oil au syrian M'city na maduka ya nje ni sawa tu...
Anza tu na Syrian ni mbadala bora kama huna uwezo wa kuafford original perfume...
Mimi huwa nanunua oil perfume lakini huzitumia kama freshener kwenye gari au home...
Kwahiyo kwa 30-40 napata kitu kizuri.
Inakaa masaa mangapiNi noma hii ngoj nijichange niibebe tena [emoji91][emoji91]View attachment 2837747
harufu kusikika sana inakaa kwa masaa 6-7 haruf ya kupoa inakaa hata kwa siku nzimaInakaa masaa mangapi
YSL Y umewah tumia?40k syrian, ingawa zipo zaidi ya hapo
Wakati za kupima zile wanaanzia 5k kichupa kidogo kama dawa ya mganga π, 10k, 15k na kuendelea...
YSL Y umewah tumia?
kama yes,nipe maoni yako umeionaje
yeah,lattafa wako vizur,Kama hiyo khamra iko vizur sanaHii ninayo ya kupima, kwa kweli very nice hwa ramz lattafa wanajua aisee
Sh.ngapi Bei?Fighting Temptation ni Habari ya Mjini
Nimeanza kuitumia tokea mwaka 2004 na sijawahi kujutiaaaa
Perfume za kupima zikichanganyika na jasho harufu yake ni mbaya haifai
Jimmy choo
Lovely
Clinique ndo nazotumia zikiisha nabadilisha brand
Napulizia kwenye nguo huko kwapani kuna deodorantHuwa unaappy vipi?
Pulizia perfume kwenye nguo au zile pulse points za mwili...
Sehemu za ze kwapaz pendelea kutumia deo stick...
Revolution mzigo ulikuja lakini naona response yako imekuwa slow ndio maana niliagiza 50mils tu, nitautumia tu mwenyewe...
View attachment 3040538
View attachment 3040557
Inazidi sabiniNikipata hela naenda kwa huyo Emascent kuchukua perfume za kupima zifuatazo:
Jumla haitozidi 70,000/=
- Black Opium
- Lacoste White
- Bleu de Chanel
Nitadumu nazo mwaka mzima.
Nimeamua kuifungua na kuitumia mwenyewe...kama mnavyowajua wabongo πππ
View attachment 3129676
Nitaleta feedback maana sijawahi tumia Light Blue kabla...