Issey miyake baba lao.. me naona inamshinda mpaka sauvage diorSo mkuu kati ya David Off Cool Water na hii una-prefer ipi zaidi?kwa maoni yako unadhani ipi ingekuwa chaguo lako zaidi kama umewahi kuzitumia zote?View attachment 3182031
overspray itakaa kitamboYara pink ni nzuriii. Ila haikai muda mrefu 🥹
Siwezi kupulizia nyingi at onceoverspray itakaa kitambo
mm pafyum huwa naioga nkiingia sehem nazima harufu zao
Lay kwenye mafuta or lotion unayopakaSiwezi kupulizia nyingi at once
Ntapiga chafya nijute 🤣
Ahsante sana. Nitajaribu hii njia..Lay kwenye mafuta or lotion unayopaka
Common sana hii.Issey miyake baba lao.. me naona inamshinda mpaka sauvage dior
Lakini iko classyCommon sana hii.
Ni kweli ukinunua hapa bongo umeliwa wanauza perfume fake kutoka china na uturuki, perfume nunua duty free shops au nchi zenye viwangoTatizo hizi perfume/spray za kibongo ni clone halafu wanauzia bei za orginal nachukia sana!! Ila ukienda SA unarudi na vitu vya ukweli
Mkuu OG si itakuwa bei sana? Mimi nanunuaga perfuma za kupima? Hivi creed aventus vipi jamani?Lakini iko classy
Za kupima sijui.. ila Og yake harufu iko makini sana
Creed nasikia ni nzuri.Mkuu OG si itakuwa bei sana? Mimi nanunuaga perfuma za kupima? Hivi creed aventus vipi jamani?
Ha ha ha eti mlipokea zawadi. Napenda sana kunukia, Creed nilitaka ninunue ila muuzaji akanishauri Sauvage Elixir, nayo sio mchezo mkuu. Ni moto ila lile licreed nilivyopewa nilitest lilikuwa ni moto, lina harufu kama ya mbao hiviiii. Hatari sana.Creed nasikia ni nzuri.
Hizo OG tulipokea zawadi, usiogope
Yara ndio habari ya mjini 🔥🔥🔥🔥🔥Yara pink ni nzuriii. Ila haikai muda mrefu 🥹
mkuu ulipata hiiMimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
Ni nzuri. Ila kutoakana na kuanza kupendwa na watu wengi wameshaanza kuichakachua. Hii moja ya product za Fragrance World. Ukitaka kujua kama ni Original scan barcode yake. Hiyo scan hakikisha inakupeleka kwenye tovuti yao Home - Fragrance WorldWakuu kuna mtu amewai tumia hii naomba mrejesho nataka kununua