Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's

Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
Kwahiyo Ukiwa na Group 0 Ndio Hupatwi na Magonjwa
 
Mimi ndiyo naelekea kupona hapa nilipata shida kuanzia jmosi nikaanza kupiga chafya mara koo linawasha usiku ilikuwa kashkash nikatumia dawa ya mchanganyiko wa tangawizi, limao, pilipili za mwendokasi nikanywa kikohozi kikaachia na mafua yakapungua sasa hivi yanaishia
 
Formular ni ilele, chemsha tangawizi halafu changanya kidogo sana na almint inauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, mnywe na antibiotic pia ampricrox.

Mimi kwa mara ya kwanza ilibidi niwe nalala na kopo la kutemea makohozi, maana makohozi mazito na ukikohowa tu maumivu yake si ya kitoto.
 
Ni covid 19-2 hivyo?!
 
Sikuwahi Kujua kuna mafua Makali kiasi hiki
Kama kweli huu ugonjwa wakutengenezwa na Mwanadamu basi Alaaniwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…