Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

Pole sana mkuu naona hapo kwenye picha yako umeteseka sana, maana mpaka umevua shati
 
Waafrika sio kila kitu mpaka tukumbushwe na ugonjwa. Moja kati ya tamaduni zetu ilikuwa ni kujifusha/kujifukiza. Usasa ndio umesababisha tuachane na hii tamaduni yetu. Lakini punde tu tutarudi kule kule kwenye tamaduni zetu ambazo mababu na mabibi zetu walikuwa wakitufanyia.
 
Kule utafundishwa kwa slides utaelewa kwa urahisi..

Au ingia google search WWW.SLIDESHARE.COM mbele andika kitu unacho search

Mkuu,
Unadhani Kuna kitu ambacho uta search 🔍 YouTube ukakikosa??
Unakuwa mwepesi sana kuamini conspiracies za watafuta views youtube. Mitandaoni ingia na akili zako, usitegemee utazikuta huko huko.
 
Unakuwa mwepesi sana kuamini conspiracies za watafuta views youtube. Mitandaoni ingia na akili zako, usitegemee utazikuta huko huko.
Unajua unachati na layman si ndio ?? JSTOR unaijua ? Katafute article kwenye international journal ujisomee tafiti mbali mbali sawa

Wasalaam.
 
Unajua unachati na layman si ndio ?? JSTOR unaijua ? Katafute article kwenye international journal ujisomee tafiti mbali mbali sawa

Wasalaam.
Miaka yangu niliyokaa MUHAS sijawahi kukutana na hizo stori zako za vijiweni. Wasalaam.
 
Haya ndio useme hizo tahadhari walizotoa, mpaka watu waje kulalamika mitandaoni, yeye waziri yuko wapi...she is incompetent I have said it,likikuuma baki nalo...unasema sio fani yangu jennista na udaktari wapi na wapi....na utaona km atatoa tahadhari yoyote...
 
Tafuta maviya tembo makavu, halafu yachome kwenye moto,ule Moshi jifukize nao itakuja nishukuru
Tulikuwa tunafukizwa tukiwa wadogo, hadi mkojo unatoka. Naada ya hapo , homa kwisha
 
Mimi mpaka sasa najihisi kuumwa, mwili wote, nikiamka asubui najilazmisha tu kutoka, mafua makali ila Leo afadhali na sijatumia kitu chochte,.

Ww kinga ya mwili ipo chini ndomana umelazwa, me siku mbili nilikua nakunywa tu maji meng Leo najihisi afadhal kabisa
 
Mafua kwangu ni ugonjwa mkuu sitaki hata kuusikia.

Hayo mafua nimeugua kwa wiki 2 na nusu.

Mara nyingi aina hiyo ya mafua hunipata miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mwezi wa 10 wa 11 au 12.

Mwaka huu nimeyapata mwezi huu wa 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…