Uwiiiiiii tokea nimuone mdada kawa kipofu sababu ya kifuniko cha pressure cooker sina hamu.Ushauri:Okoa muda na punguza matumizi ya gesi kwa kutumika pressure cooker
Common Cooking Times | FAGOR
Eeeh bwana eeeh?Sasa kwanini wasisambaze mitungi na huku Dsm namna hiyo?Manjis ni kampuni ya Arusha ndo nyumbani kwao hadi vichochoroni wapo,wameenea sana Arusha hakuna kampuni inayowashinda wao kwa Arusha hata hao Oryx kwa Manjis Arusha wanaisoma namba,pia ni wazuri
kwani mitungi yao inajaa wala hawapunji.
Ushauri..Sana mkuu...
Nimeikumbuka na najuta sana [emoji22][emoji22][emoji22].
Tatizo kuna watu Tanzania hii wananunua bidhaa kwa udini, ukanda, ukabila na hata undugu.... imajini majivya uhai ukayakute yanauzwa kwa wingi Arusha..!!!Eeeh bwana eeeh?Sasa kwanini wasisambaze mitungi na huku Dsm namna hiyo?
Au huku wameona kugumu wakaamua kukamata masoko ya mikoani?
Kutokana na uhaba wake huku hadi naingia kigugumizi kwenye kununua.
Hakuna kitu kinakera kama has iishe halafu uitafute ya aina ile uikose (hasa kama uliipenda)
binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri..
Uwe na mitungi zaidi ya mmoja.... gesi inaishaga katikati ya shughuri.... imajini upo katikati ya upishi wa ugali wa wageni au hata pilau halafu gesi shwaaaaaaaaaa.....
Kama hujatoa kitu cha ugali mbichi sijui..!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu point yako ya kwanza nimekuelewa sawia...ila ya pili nimeona nyota.Tatizo kuna watu Tanzania hii wananunua bidhaa kwa udini, ukanda, ukabila na hata undugu.... imajini majivya uhai ukayakute yanauzwa kwa wingi Arusha..!!!
Kuna bidhaa hata wauzaji hawajisumbui kupeleka maeneo fulani. ... fikiria bia ya balimi ukaipeleke Mtwara....🙂🙂🙂
Oryx hapana aiseepoa nadhani oryx iko poa na faamilia inakaa muda sana
Oryx siyo mimi ntahamia Lake GasDuuuuuh Oryx sio poa sana.Niliwahi kuitumia kipindi fulani.
Asante kwa maoni mkuu.
huhuhuhuuu gesi ya taifa!!!Nimewavulia kofia...[emoji119][emoji119]Orxy ni gas ya Taifa.
your great merit mkuu!!Am humbled [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.Mimi ninatumia Oryx, reason kubwa iliyonufanya nikaichagua ni kutokana na kusambaa sehemu nyingi hivyo upatikanaji wake hausumbui. Ila kuna jamaa aliniambia Manjis zinawaka kwa moto mkalk zaidi ya Oryx tena moto wa bluu muda wote.Alieniambia ni jamaa anaeuza mitungi. Ila ninavyojua mimi rangi ya moto wa gesi hutokana na kiasi cha oxygen kinachoburn/support combustion. Je hilo lina ukweli la Moto mkali kwa Manjis ni kweli au fix za muuzaji hasa kutokana kuwa na kuwa na mitungi mingi ya Manjis???
Sio mbaya,sijapitia mawakala siku nyingi hivyo sijui bei yake kwa sasa huku ikoje.wakuu lake Mdogo ni 58
Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.
Ungechukua Manjis uone utofauti, mimi napenda kujaribu na nitaitafuta gas ya Manji's kwa kila hali.
Mimi nataka nihamie Manji's mkuu.Oryx siyo mimi ntahamia Lake Gas