Niliwaza hivyo na nikaona hii niliyonayo ikiisha nitachukua Manjis nione utofauti. Upatikanaji kwa hapa nilipo ni kama "gas ya Taifa". Hope utatupa mrejesho ukianza kutumia.Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.
Ungechukua Manjis uone utofauti, mimi napenda kujaribu na nitaitafuta gas ya Manji's kwa kila hali.
Uzuri wa jukwaa kama hili ni mawazo ya wengi.Niliwaza hivyo na nikaona hii niliyonayo ikiisha nitachukua Manjis nione utofauti. Upatikanaji kwa hapa nilipo ni kama "gas ya Taifa". Hope utatupa mrejesho ukianza kutumia.
SawaUzuri wa jukwaa kama hili ni mawazo ya wengi.
Nimepata mawazo mengi mapya,nitaanza kuyafanyia kazi hivi karibuni.
Na tutapeana mirejesho katika kila hatua.
Asante...nawe utuletee mrejesho wa Manji's.
teh teh! wala isssue si kujaribu vitu.Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.
Ungechukua Manjis uone utofauti, mimi napenda kujaribu na nitaitafuta gas ya Manji's kwa kila hali.
Yeah manjis iz ze best.. ata gauge yake ya kuongeza na kupunguza moto ni imara tofauti na oryx na nyngne, kwa upande wa mitungi midogo nifahManji Oyeeeeeeee
[emoji122][emoji122][emoji122]
teh teh. nangojea mrejesho...Aaaaaah wapi wewe? Subiri nijiunge Manji's naona sifa zao zinazidi Orxy...
Kaeni chonjo [emoji12]
Naamini hutojuta dear, mimi sina hamu hata ya kujaribu mtungi mwingine, huku Arusha kuna mpya umeingia unaitwa mount meru gass, wala hata siishobokei.And that's my sweetheart mwasu...nitainunua mpenzi.
Tena ngoja nianze kutafuta inapopatikana maeneo karibu na hapa ili hii Mihan ikiisha tu nikaichukue fastaaaa.
[emoji39][emoji39][emoji39]
Nitakupa mrejesho dear.
Mbona unaguna? Kushikishwa kwa maana ya kubambikwa sio kushikishwa ukuta.Mhhhhhhhh!
Jifunzeni sehemu za kuleta utani na sizo.
Hayo maswali yangefaa kuniuliza kama mngenikuta katika jukwaa la MMU.
Sipo kutafuta mume /mchumba hapa.
Period
Hii sijawahi kujaribu,na hivi mimi ni Mwanajangwani nitajisikia fahari sana kama gesi ya Manji ikinifaa.
Hakika sitobadili tena.
mrejesho..leo huu mtungi umeisha Leo tar 24 nilianza kuitumia tar 2 so ni cku 22binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis
Guys price ya oryx how much?binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis
I agree with you Miss, Manji ndo habari ya Mujinimanjis mitungi yao inajaa vizuri
ila nikushauri kitu ukinunua mtungi waupime kabisa mingine haijai kg iliyoandikwa