Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.

Ungechukua Manjis uone utofauti, mimi napenda kujaribu na nitaitafuta gas ya Manji's kwa kila hali.
Niliwaza hivyo na nikaona hii niliyonayo ikiisha nitachukua Manjis nione utofauti. Upatikanaji kwa hapa nilipo ni kama "gas ya Taifa". Hope utatupa mrejesho ukianza kutumia.
 
Niliwaza hivyo na nikaona hii niliyonayo ikiisha nitachukua Manjis nione utofauti. Upatikanaji kwa hapa nilipo ni kama "gas ya Taifa". Hope utatupa mrejesho ukianza kutumia.
Uzuri wa jukwaa kama hili ni mawazo ya wengi.
Nimepata mawazo mengi mapya,nitaanza kuyafanyia kazi hivi karibuni.
Na tutapeana mirejesho katika kila hatua.
Asante...nawe utuletee mrejesho wa Manji's.
 
Uzuri wa jukwaa kama hili ni mawazo ya wengi.
Nimepata mawazo mengi mapya,nitaanza kuyafanyia kazi hivi karibuni.
Na tutapeana mirejesho katika kila hatua.
Asante...nawe utuletee mrejesho wa Manji's.
Sawa
 
Mkuu ninavyojua gas ni matumizi!kama upo single unaeza ukawa na mtungi mmoja wa 15kg mwaka mzima!ila ukiwa na familia ndio balaa!sijui wapike uji wa Lishe wa mtoto unachemka hadi unakaribia kuungua!sijui uchemshe maji ya kuoga ya mtoto!hiyo 15kg itakua sana sana 10days kwisha!

Kama walivyoshauri mtungi wako upimwe na pia jiko lako liwe halitoa moshi manake kama linatoa moshi means haliwaki vizuri gas inaenda nying.
 
Siamini kama ni fix za muuzaji maana hapo ilikuwa lazima umnunuze.

Ungechukua Manjis uone utofauti, mimi napenda kujaribu na nitaitafuta gas ya Manji's kwa kila hali.
teh teh! wala isssue si kujaribu vitu.
unazi wa jangwani nao ni pulling factor Nifah ....
A=B, B=C then A=C
JANGWANI=MANJI, MANJI=MANJI'S
then JANGWANI=MANJI'S
Nifah=JANGWANI,
Nifah=MANJI'S full stop!!
 
Manji Oyeeeeeeee
[emoji122][emoji122][emoji122]
Yeah manjis iz ze best.. ata gauge yake ya kuongeza na kupunguza moto ni imara tofauti na oryx na nyngne, kwa upande wa mitungi midogo nifah
 
And that's my sweetheart mwasu...nitainunua mpenzi.
Tena ngoja nianze kutafuta inapopatikana maeneo karibu na hapa ili hii Mihan ikiisha tu nikaichukue fastaaaa.
[emoji39][emoji39][emoji39]
Nitakupa mrejesho dear.
Naamini hutojuta dear, mimi sina hamu hata ya kujaribu mtungi mwingine, huku Arusha kuna mpya umeingia unaitwa mount meru gass, wala hata siishobokei.
 
Jifunzeni sehemu za kuleta utani na sizo.
Hayo maswali yangefaa kuniuliza kama mngenikuta katika jukwaa la MMU.
Sipo kutafuta mume /mchumba hapa.
Period

Nafikiri umemuelewa vibaya,
May be alimaanisha unafamilia, na kama unayo mko wangapi.
Idadi ya watu itakusaidia kujua matumizi yako.
 
Hii sijawahi kujaribu,na hivi mimi ni Mwanajangwani nitajisikia fahari sana kama gesi ya Manji ikinifaa.
Hakika sitobadili tena.

Hahahahahaha,
Sidhani kama Manjis gas inauhusiano na Manji wa Jangwani
 
binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis
mrejesho..leo huu mtungi umeisha Leo tar 24 nilianza kuitumia tar 2 so ni cku 22
 
wauza gas wengi ni matapeli wanachkachua hakikisha unapima ujazo wa gas utayonunua kama ni sawa ama la halafu muda mwingine uwe unakagua mrija wa gas baada ya matumizi huenda ukawa unavuja na gas ikawa inatoka yenyewe
 
Kumbe sisi tunaopika kwa kutumia kuni tuna raha sana aiseeee.....
 
Hamieni huku wakuu, hakuna jaka moyo..[emoji12] [emoji12]
1472093178275.jpg
 
binafsi nameanza kutumia mtungi Mdogo wa mihan kwa matumiz ya kukaangia mayai/chips mayai.Nimeununua tar 2 August mpaka sasa unatumika.Huwa nachomea wastan wa trey moja kwa siku,chai asubuh basi.Naahid kuleta mrejesho pind utakapoisha nikipata wasaa.
Nyongeza:Wakat nanunua nilimuuliza muuzaj kwa nn bei ya orex IPO juu kuliko ges ingine...mihan nilinunua elf 75.Muuzaj akanijib Orexy wanauzia jina ila walikuwa na sifa ya kutokuchakachua lkn sasa nao wanachakachua...
Mtonyo:Kuna MTU alinisikitikia kununua mihan 75 wakat lake wana ofa wanauza 45 mtungi huohuo Mdogo.......nipo morogoro town so ges zote zinapatikana kirahis
Guys price ya oryx how much?
 
Nakusudia kuanza matumiz ya gesi kutoka kweny kuni na mkaa bt naona kuna brand nying sana sokoni... oryx, mihan, lake gase, mogase n.k ipi ni right choice?

Ukijustify reason ako ni gud zaid
 
Back
Top Bottom