Alright mom.Itabidi nianze kuchunguza
By the way ninaomba series za kikorea....[emoji12]
Yeah,sahani tatu japo nilikuwa natumia moja tu.rudia mtungi mkubwa mama...hii midogo ni balaa tuu ukiangalia hapo umedai kuwa jiko lako lina saani tatu
Kivipi mkuu?Maana mtungi mdogo kuujaza ni 18,000 na kama nilivyosema Lake nilitumia miezi mitatu na zaidi.Yote kwa yote kama mtu una uwezo mitungi ile mikubwa kabisa ni bei kubwa kwa manunuzi lkn ni rahisi sana ukigawanya bei yake kwa kg
Mimi Mihan naona nafeli mkuu,siyo kabisa.Oryx naitumia sa hiv nataka niipime ila mihan nlienjoy ilikaa sana ila gesi inategemea na matumizi
my dada kuna kifaa unaweza ukakifunga kwenye jiko lolote lile ukawa unapunguza na kuongeza wingi wa gasYeah,sahani tatu japo nilikuwa natumia moja tu.
Jiko dogo naona liko simple sana tofauti na kubwa.
Sijui ni mazoea?
Pia kubwa moto wake mkali sana,dogo moto wake sio mkali sana na unaweza kupunguza hadi mwisho.
Duuuuuh Oryx sio poa sana.Niliwahi kuitumia kipindi fulani.
Asante kwa maoni mkuu.
Duuuuuh Oryx sio poa sana.Niliwahi kuitumia kipindi fulani.
Asante kwa maoni mkuu.
Ooooooh aisee umenipa elimu sana.my dada kuna kifaa unaweza ukakifunga kwenye jiko lolote lile ukawa unapunguza na kuongeza wingi wa gas
View attachment 385845
unapunguza kwenye mtungi na kwenye majiko pia kuna sehemu ya kupunguzia....ila ukitaka kusahau yani kutumia mtungi kwa muda mrefu nunua tuu mtungi mkubwa....kisha weka iko kifaa
Unatumia mtungi gani (size) na unadumu nayo muda gani?natumia oryx, nilishawahi kuwaza kubadili zamani kidogo nikaahirisha. kwa ufupi iko poa.
Nilipewa sifa zake lakini inaniangusha mkuu.Mihan mm bado naipenda kuliko Oryx
ila km Mihan ilikuangusha kwa sasa naomba uwe unafunga kwenye kichwa cha mtungi/
Gas inavuja sehemu nyingi jaribu kucheck hizo pipe mpaka jiko lenyewe lazima kuna panapovuka
Mihan ni miezi 5 mpaka 6 kwa mtungi mkubwa wa 15kg km utatumia kwa plate moja bila ya kuchemsha maji ya kuoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oryx ina ubaya gani mkuu,au una alergy na rangi ya mtungi wake nn?
Kwa mwendo huu nitajaribu zote,naweka record kisha mwisho nitaamua nitumie ipi.Tumia oil com gas
Kama iko vizuri ni sawa,japo sio mbaya kujaribu nyingine...you never know eti?Mie hutumia orxy na sijawahi kujaribu tofauti na hiyo kwa muda mrefu sana sasa.
Ngoja nione mawazo ya wengine.