Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 454
- 666
Pia o gas ya oil com nayo sio mbaya na rangi pia ni ya jangwani. Lakini la muhimu ni kupima kabla ya kununua au angalia leakage kwenye jiko.Hii sijawahi kujaribu,na hivi mimi ni Mwanajangwani nitajisikia fahari sana kama gesi ya Manji ikinifaa.
Hakika sitobadili tena.
Nimekukosa sana pia mpendwa, tatizo wewe umemkomalia tuuu mange utaniona wapi sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]Kama iko vizuri ni sawa,japo sio mbaya kujaribu nyingine...you never know eti?
Mimi sijui nikoje,napenda kuchunguzaaaaa (no wonder ni mbea)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BTW...nimekukosa,long time no see dear [emoji22].
Kinauzwa tsh?my dada kuna kifaa unaweza ukakifunga kwenye jiko lolote lile ukawa unapunguza na kuongeza wingi wa gas
View attachment 385845
unapunguza kwenye mtungi na kwenye majiko pia kuna sehemu ya kupunguzia....ila ukitaka kusahau yani kutumia mtungi kwa muda mrefu nunua tuu mtungi mkubwa....kisha weka iko kifaa
Oryx ni nzuri kwa kweli inakaa mda mrefu.Oryx naona ndo bora kuliko zote japo unapinga
mtungi mkubwa kg30 jiko two plates. matumizi ni ya kila siku asubuhi mchana jioni na inadumu kwa miezi mitano hadi na nusu. kiukweli naona inanishawishi kukaa na hihii kampuni. sijui kwasababu mi mwana msimbazi(rangi)??Unatumia mtungi gani (size) na unadumu nayo muda gani?
Na matumizi yako yakoje mkuu?
Isijekuwa unachemshia chai tu [emoji12]
Hapo lazima idumu.
UKU NILIPO NIMENUNUA SH 15000/=Kinauzwa tsh?
Oryx ni nzuri kwa kweli inakaa mda mrefu.
UKU NIMENUNU 15000/= TUKinauzwa tsh?
[emoji134][emoji134][emoji134] pole mkuu kwa kunusurika na ajali ya moto.Mm huwa nina ORXY hata kulipuka huwa ina nisamehe tu (ile switch ya ON/OFF sijui ilipate shot na kushika moto chini ya Jiko duuh, kurudi jikoni moto balaa) nadhani ni nzr sn hii ukichukua tahadhari zake zote.
Nilikuwa naamini hivi...lakini baada ya kubadilisha nimeona utofauti.Gas ni ile ile as long as mtungi umejazwa vizuri na hakuna usanii hakuna tofauti. It doesn't matter ni oryx, mihan au manjis pima kabla hujachukua au pia kwa mihan siku hzi wanakuwa wameweka kizibo ile isifanyiwe usanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mnanichekesha nyie.Pia o gas ya oil com nayo sio mbaya na rangi pia ni ya jangwani. Lakini la muhimu ni kupima kabla ya kununua au angalia leakage kwenye jiko.
[emoji134][emoji134][emoji134] pole mkuu kwa kunusurika na ajali ya moto.
Nimewahi kusikia Orxy inalipuka sana.
Mhhhhh hadi nimeanza kuogopa
Nimekukosa sana pia mpendwa, tatizo wewe umemkomalia tuuu mange utaniona wapi sasa![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tatizo oryx haijawahi kunipa sababu ya kujaribu nyingine so nimetokea kuiamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtungi mkubwa kg30 jiko two plates. matumizi ni ya kila siku asubuhi mchana jioni na inadumu kwa miezi mitano hadi na nusu. kiukweli naona inanishawishi kukaa na hihii kampuni. sijui kwasababu mi mwana msimbazi(rangi)??
Jamani [emoji134]mmetumwa kuisifia hii kampuni nini?Oryx habari ya mjini
Hahaaaa! Umenikumbusha leo tulivyotishwa cheeeeee!!Haaaaa jamani!Mbona sasa hivi sipo sana umbeani?
Nipo kwenye ujenzi wa UKUTA mama...
Baada ya hapo ndio nitarudisha akili kuleeee.
Endelea na orxy yako my dear
Wewe sasa umevunja rekodi mkuu.Nina miaka mi4 natumia Oryx haijawai kulipuka au kuisha mapema. Ninatumia miezi 8 mtungi wa (kg15).