Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na mimi nimjaribu Manji,akinifaa sibadili milele.

Kwa sifa hizi basi Orxy wako vizuri aiseee...mnaelekea kunishawishi
[emoji12][emoji12][emoji12]
nilijua naikubali oryx pekeangu. nimeshangaa kuona wengi wa wachangiaji wanaikibali. nimejifunza kitu kupitia uzi wako!
 
Tunaopikia asante kuwaka jua msituni tukapona tutasima comments mbili tatu kucheki wamejibu nini nakurudi hiyo....iko poa keyboard bahna[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Eti mchana mchana watu wanafanya mazoezi ya kupiga mabomu acha watu watimke!! Watu ndio wamepandishwa hasira zaidi.
Yarabiiiiiiii![emoji134]
Ila this time watu wamechachamaa,hatua zisipochukuliwa mapema tutaingia machafukoni.
 
Kwa nielewavyo, muda wa kwisha gesi inategemea na matumizi... kama uzito wa gesi ni sawa sioni kingine kitakachoimaliza gesi zaidi ya matumizi... I STAND TO BE CORRECTED
 
Confused [emoji56] [emoji56]
Sijui nimuamini nani.
Nafikiri ubora wa oryx ni urahisi katika upatikanaji pamoja na zile security valves...kwa sasa natumia Oryx lakini haikai muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Manjis.
 
Tunaopikia asante kuwaka jua msituni tukapona tutasima comments mbili tatu kucheki wamejibu nini nakurudi hiyo....iko poa keyboard bahna[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Negative mind [emoji108]
 
Oryx is the best
 
Oryx is the best
 
Nafikiri ubora wa oryx ni urahisi katika upatikanaji pamoja na zile security valves...kwa sasa natumia Oryx lakini haikai muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Manjis.
Yeah...Orxy ni kampuni kongwe kabisa.Imejiimarisha kibiashara kiasi kwamba upatikanaji wake ni rahisi.
Ila kama utaniuliza baada ya maoni yote hata...
Honestly...I'll go for Manji's.
Tatizo sijui nitaipata wapi...sijaiona sana ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…