Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Tujuzane na kushauriana ipi gesi bora kwa matumizi ya nyumbani

Wakuu naishi Dar nataka kununua gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwaajili ya kupikia.
Je? ni gesi aina gani ni nzuri hapa na maana ni kampuni gani hutoa Huduma ya uhakika.
Kati ya ORXY lake oil milayo n.k

Na bei zao zikoje??
mmejaribu ya mtwara? MTWARA GAS
 
Wadau, mimi ninatumia Mtungi wa Gesi Kampuni ya Oryx saizi ya kati, ila sasa naona kama haikai sana, situmii kwa kupikia MAKANDE na MAHARAGE, napikia ugali, mboga na kupasha maji tu ya kuoga, nilinunua tarehe 30 mwezi 12 hadi kufika tar 25 mwezi 2 ilikuwa tayari imeisha yani nimetumia kama miezi 2 hivi.

Naomba ushauri ni kampuni ipi nzuri ina gesi nyingi na inaweza ikachukua muda mrefu kwa matumizi yangu.

Tunaponunulia gesi walio wengi hawana mzani wa kupimia mitungi unaponunua huenda nalo ni changamoto kwetu.

Naomba ushauri wenu
 
kuna vituo vya kuchakachulia iyo mitungi ( wanapunguza na kujaza kwenye mitungi empty kwa kuiinamisha), solutiion ni kuwa na mzani wako unapima unaponunua, kuna mizani digital ya 150 kg kibao KKoo
 
Back
Top Bottom