Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hii itakuwa inapatikana huko dasilama tu nini!!!PENTFORD GAS kutoka uingereza ni nzuri mno mtungi mkubwa ni 30,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itakuwa inapatikana huko dasilama tu nini!!!PENTFORD GAS kutoka uingereza ni nzuri mno mtungi mkubwa ni 30,000/=
umeuliza kwa kejeli mno...... [emoji17]Hii itakuwa inapatikana huko dasilama tu nini!!!
Sio kejeli wala, sijawahi kuiona hiyo.umeuliza kwa kejeli mno....
Anyway ni nchi nzima ipo sijui huko ulipo haifika labda huduma hii. [emoji17]
PENTFORD GAS kutoka uingereza ni nzuri mno mtungi mkubwa ni 30,000/=
mmejaribu ya mtwara? MTWARA GASWakuu naishi Dar nataka kununua gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwaajili ya kupikia.
Je? ni gesi aina gani ni nzuri hapa na maana ni kampuni gani hutoa Huduma ya uhakika.
Kati ya ORXY lake oil milayo n.k
Na bei zao zikoje??
kinaitwajeNunua kile kifaa uchomeka pale juu ya mtungi inaonesha gesi kama imejaa na inavyoelekea kuisha pia kama inavuja inarekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua kile kifaa uchomeka pale juu ya mtungi inaonesha gesi kama imejaa na inavyoelekea kuisha pia kama inavuja inarekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikiweka si lazima kijani iwe imejaa? Au inakuwa kati kati?Nunua kile kifaa uchomeka pale juu ya mtungi inaonesha gesi kama imejaa na inavyoelekea kuisha pia kama inavuja inarekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikiweka si lazima kijani iwe imejaa? Au inakuwa kati kati?