Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

Ukristo ni IMANI, Si Dini.

Wapo waarabu na waislamu wengi Walio Wakristo.

Wayahudi Wana amini TORATI ya Musa, na Wana dini yao.

Israel wapo wenye IMANI ktk YESU kristo, bt wengi hawamwamini YESU.

ANGALIZO: Ukiilaani Israel UNALAANIWA, na ukiibariki Israel UNABARIKIWA.

Tanzania ni Nchi ya AGANO, ni sahihi kuhusiana na ISRAEL.
 

Wala sina nyongo, nawakumbushia hilo la kuua waafrika wenzenu kisa mwarabu mnayemuabudu alipowadanganya kupata mabikira 72, ukizingatia yeye alivyo katili kwa katoto alikokanyandua.
 
Hao unaowaita waisrael warudi. Kwao Ujerumani na Spain waliletwa pale kama wakimbizi tu WA kutafutiwa hifadhi. Ndio. Maana walitaka kuletwa UGANDA PIA. Yaani ni kama Leo waletwe hapa tuwahifadhi pwani halafu waanze kusema wao ni nchi kamili. UPUUZI TU
 
Umetaja Zulu na Ngoni, Vipi Makonde! Au ndiyo Ephrahim?
Makonde sijajua bado ila.pwani yote ya East Africa ilikuwa Inaitwa AZANIA. hebrew name... Limebaki kidogo hapa Tanzania kwa shule ya AZANIA na benki. But watakuwa tu na originality na the old Israel. Wanyamwezi nadhani watakuwa mix ya Juda na Levi.
 
Africa ndio Bara linaongoza kuimbishwa na wachungaji kubariki Israel na mabendera wameyajaza kwenye nyumba zao. But ndio Bara lenye kila Aina ya shida. Mbona hatubarikiwi...... Because..... WE ARE BLESSING THE WRONG PEOPLE..... waisrael tuko nao kila siku but tunawapita na kuwa dharau sababu wanafanana na sisi. Tunampenda MZUNGU NA MWARABU kuliko ndugu yako anayefanana na wewe.
 
MK254 njoo sasa huku ndo mahali pake hasa pa kuwatukana maustadh na mashekhe sio kule kwenye uzi wa vita ya Ukraine/urusi, Kule unawaonea bure mashekhe na maustadh hawahusiki hata kidogo,, uwanjani wako sasa watukane


Aje atukane watu??, akija na kutukana nitamuona zuzu.

Acha akili za pombe.👇🏻

 
Wala sina nyongo, nawakumbushia hilo la kuua waafrika wenzenu kisa mwarabu mnayemuabudu alipowadanganya kupata mabikira 72, ukizingatia yeye alivyo katili kwa katoto alikokanyandua.
Ushamaliza bado?? Kama hujamaliza maliza kabisa,, kutoa dukuduku lako,, sasa nikuone kule kwenye ile battle yetu pendwa ya smo ya Ukraine/urusi unatuletea uchoqo wako wa jealous zako za kidini mxenge mmoja wa kikenya wee!!
 
Kuwabariki ISRAELI haimaanishi kuwalaani mataifa mengine au waafrika wenzetu.

Tumeagizwa kuwapenda wote hata maadui wanaotuchukia.
 
Aje atukane watu??, akija na kutukana nitamuona zuzu.

Acha akili za pombe.👇🏻

View attachment 2545742
Mkuu pombe sinywi ila nakula mmea,, sababu ya kusema hivi,,, huyu jamaa MK254 ana chuki na uislam na waislam kwa ujumla sijui hata walimfanya nini,,, so kila uzi hata usiohusisha mambo ya dini basi yeye lazima atukane, akashifu uislam na uislam, hasa kwenye ule uzi wa vita ya Ukraine/urusi,, na ndio maana nikamwita hapa makusudi kwenye uzi huu kwa kuwa una viashiria vya kidini ili yale matusi yake,kashfa, na kejeli dhidi ya uislam na uislam avimalizie hapa,, na kama ulivyomuona kaja kweli kutukana. Yani kifupi huyu jamaa hamnazo. Na kumwita kwangu hapa ilikuwa kama joking lkn si umeona coment yake ilivyokuwa ya kipuuzi.. sijui hata maustadh walimfanya nini huyu jamaa.
 
Mungu ibariki israel,Mungu ibariki Jerusalem iwe na amani
 
Unaanzisha thread wakati afya ya ubongo wako iko dhofulhali, for your information I'm an atheist though I was born and raised a Catholic.
Post yako ungeiandika kwa kutumia akili(kama unazo) at least ungeweza kuwa na hoja, suala la Israel/Palestine linakuwa na tija kama likiangaliwa kibinadamu na si kidini lakini tatizo ni watu wenye upeo mdogo kama wewe. Both communities deserve security and rights, lakini Israel inatumia it's military prowess and financial strength kuwafinya Palestinians lakini na Wapalestina nao wanatumia Uislamu wao(majority of the Palestinians are Muslims) kuungana na mataifa ya Kiarabu kutishia amani ya Israel kwa kuimba zile ridiculous slogans zao za 'to wipe Israel from the map' yaani kuliteketeza taifa la Israel lipotee katika uso wa dunia sasa hapo hata mimi ningekuwa Muisraeli ningehakikisha naifinya Palestine ili isitishie usalama wangu.
To cut diplomatic relations na Israel kwa sababu ya kuwafurahisha Wapalestina ni upuuzi, tufanye uamuzi kwa kuzingatia faida na hasara za kiuchumi na kijamii ndipo tuamue kipi kina faida kwetu.
 
Watu kama wewe ndio nawaonea huruma.
Wala mimi sio muislaam kama ndivyo unadhani, wala sijaweka huu uzi eti kuwananga wakristo. Sema nimeeleza ukweli tu na ndio hali halisi. Ukiigusa israel kwa unyama wake kwa wapalestina wakristo kama wewe watakaa kimya au kuitetea. Na ukiigusa saudi arabia kwa kuivamia yemen au kuwabagua na kuwatesa wafanyakazi weusi nchini mwao utaona baadhi ya waislaam wakiitetea kwa misingi ya dini.
 
Ubongo wako inabidi upatiwe matibabu, assumptions za kichwani kwako unazichukulia kama uhalisia. I'm not religious na siitetei Israel kwa sababu za kidini maybe if I was Jewish it could have been a different story, kama tunafaidika na kuwa na uhusiano nao wa kidiplomasia so be it. Hatuwezi kuacha kuwa na uhusiano na nchi kwa sababu ya eti tuitetee tu Palestine, hao wapambane kivyao this damn world has never been fair to anyone. Ndiyo uhalisia wa dunia ulivyo, ingekuwa kuna faida zaidi kuwa na uhusiano nao wa kidiplomasia basi ningeona ni bora kuwa na uhusiano nao. Kama nchi malsahi ya taifa ndiyo tunapaswa kuyapa kipaumbele.
 
Ushamaliza bado?? Kama hujamaliza maliza kabisa,, kutoa dukuduku lako,, sasa nikuone kule kwenye ile battle yetu pendwa ya smo ya Ukraine/urusi unatuletea uchoqo wako wa jealous zako za kidini mxenge mmoja wa kikenya wee!!

haiji hata siku moja nimalize kuwakumbushia laana yenu ya kumuabudu mzee aliyegegeda katoto hehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…