Tukiachana na wachaga, makabila mengi yana watoto wa mama, wanapajua zaidi kijijini na ndugu wa mama, Kwanini wanaume hawapeleki Watoto vijijini?

Tukiachana na wachaga, makabila mengi yana watoto wa mama, wanapajua zaidi kijijini na ndugu wa mama, Kwanini wanaume hawapeleki Watoto vijijini?

Wengi wanakutana mjini na kuanzisha familia wanavurugana na kuachana mjini mjini! Kwao na wazazi kubaya mafukara wanaogopa aibu
Tangu zamani waliooa swhemu za mbali haya yaliwakuta halafu hizo mambo za kukutana mijini hazina hata miaka 20
 
Back
Top Bottom