Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

Naona sasa tuna misuse hili neno KARMA yaani hata mwizi akipigwa ndugu zake waseme KARMA itawahukumu waliompiga? This is ridiculous.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU tunao waombea wafe kwa corona ni wale waliotufanya tuishi kama MASHETANI hasa kwa hii Miaka minne!.. R.I.P in advance
 
Yani mtu na akili zake anaweza kufikiri wewe una akili nyingi kweli,
Sas Musiba na Lemutuz wana mageto makubwa kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipopote ben, mlikasirika?
Mlipompiga risasi lissu mlikasirika?
Kinyweeni kikombe hiki pamoja na vizazi vyenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

"Kupopote" ndo Kufanya Nini?

Bwana weee Maisha yako hayo ukiamua kuyaishi kwa kuweka Chuki za kijinga na kuchuma dhambi Bureee kisa Mbowe kasema Shauri yako. Ni ujinga wako.

What I was trying to say was Corona haina Chama.
Alafu we inaonekana ni mtu mzima kabisa Sema akili zako umeziacha ufipa.
 
Mayalla! Ni vipi wewe unaona kimuombea mtu mabaya ni kubaya kuliko kummiminia mtu risasi thelathini? Naomba usijutie la kuombewa jutia la kuua kikatili.
Tatizo la Paskal mayala anaeazia Uteuzi mpaka kusahau kuwa wapo watu wengine wanawaza kwa umakini kuliko yeye
 
Kaka Pascal itakuwa kuna jambo sio bure tu. Unatakiwa, kwa uwezo wako wa akili, ujitafakari wapi una mapungufu ujirekebishe. Najuwa una mapungufu menvi kama ni binadamu lakini hayafikii kiasi cha kuombewa kifo.

Lakini ujuwe pia, kuna wengine wapo ambao maombi hayo yanawahusu moja kwa moja. Kwani ingelikuwa wakati wa Iddi Amini yuko hai kipindi kile Coronaipo usingeomba dua afe kwa Corona? Hata Trump anamuombea Kim afe kwa Corona pia? If you can play god you might as well accept to be played god!
 
Wewe Akili zako umezificha kwa Le mutuz hujui huwa ushetani wa kuwabambikia wapinzani kesi kuwapiga risasi ndiyo ushetani wa kutisha zaidi
 
Dunia imejaa hadaa sanaa kuanzia serikalini mpaka kwamtu mmoja mmoja.

Kama kuna dini ya kweli duniani basi wengi wetu bado hatujaijua.

Akutukanae akuchagulii tusi,

Wewe ukinitukania baba yangu usifikirie namimi nitakutukania baba yako bali nitakuchagulia tusi ambalo ninajua litakuumiza zaidi ya mimi nilivyoumia kwahiyo usishangae nikakutukania ukoo wenu mzima.

Tusiangalie matawi bali tuangalie mizizi maana bado hatujachelewa.

Corona ipo tuchukue tahadhari.

Usifikirie anayeokuombea wewe ufe kwacorona hajui kama yeye ndie anaweza akafa kwahiyo Corona ila kinachoonesha yeye hana chakupoteza maana yawezekana tayari alishawapoteza ndugu najamaa zake katika matukio makubwa nayakutisha kwahiyo Corona kwake silolote sichochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hawa ndio mbwa tunazotaka zife kwa corona hata tukitangulia sisi wakifuatia wao itakuwa sawa sababu bila hivyo watamaliza ndugu zetu kwa vikao vyao vya wasiojulikana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Paskali, washahili husema "maneno huumba". Umewaita hao wanaowatakia wengine mabaya kwa Corona kwamba ni "mashetani'. Kama wapo mashetani hata TZ sitashangaa kwa sababu kuna mkuu mmoja alisema anataka raia wengine waishi kama "mashetani'. Huenda ndio wamo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…