Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Naona sasa tuna misuse hili neno KARMA yaani hata mwizi akipigwa ndugu zake waseme KARMA itawahukumu waliompiga? This is ridiculous.Hahahaha umeandika kwa kirefu sana but Kuna Watu wanakera sana!! Hasa CCM to be specific! Unakumbuka issue ya akina Halima Mdee na Esther Bulaya? Unakumbuka zile kebehi? It pains na kama kweli kama hao watu wapo basi CCM ndio waasisi wa hayo mambo na wanavuna walichokipanda KARMA
Sent using Jamii Forums mobile app