Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

Hakuna Padre,Bruda wala Mtawa wa kanisa Katoliki anayelipwa mshahara kwa kazi yake ya Utume.
 
Mishahara yao
TRA kodi inasoma ya PAYE ya hao wachungaji wa makanisa yote yawe katoliki,Lutheran, Pentecoste au lolote kipato chao wanachopewa wao direct kinakatwa kodi kitokanacho na sadaka za waumini ? Kiitwe fungu la kumi ,posho or whatever ? Ni income from employment kwao .Kodi wanalipa?

Dawa yao TRA iwashukie kama mwewe Kuwa how do you survive source ya income yako for survival unaitoa wapi? Kama sadaka za waumini au mafungu ya kumi huo mshahara walipe kodi na wapigiwe toka siku wamekuwa wachungaji ,mapadre au massista kanisa husika lilipe arrears za kodi

Ili wakome kunyooshea kidole wengine akina Mwamposya or whoever makanisani
Kukomesha huo ujinga

Wanatupa mawe kwingine wakati wanaishi nyumba za vioo.Patachimbika.
 
MWAMPOSA ANAUZA MAJI MENGI SANA ZAIDI YA KIWANDA CHA MAJI LAKINI HALIPI KODI VIVYO HIVYO NA MAFUTA
Na TRA wapo wakiwakaba akina mama ntilie, nchi ya ajabu sana hii, hawa matapeli wa dini ni wajasiria dini kwelikweli wanatengeneza na kuharamisha pesa zao huku TRA na vyombo vya dola vikiangalia kushoto.
 
Na TRA wapo wakiwakaba akina mama ntilie, nchi ya ajabu sana hii, hawa matapeli wa dini ni wajasiria dini kwelikweli wanatengeneza na kuharamisha pesa zao huku TRA na vyombo vya dola vikiangalia kushoto.
Waende kuchukua kodi kwa mapdre,masista na mabruda pia wa kanisa katoliki na wasiisahau siku za mavuno kwenda kanisa katoliki,Anglican, Lutheran nk

Na wasisahau makanisa ya kipentekoste waishio kwa fungu la kumi sadaka za waumini wadai chao kuanzia siku mtu kawa mchungaji wadai kodi kutoka chake amekuwa akipokea toka awe mchungaji

Kuna watu hawalipi kodi wakiwemo mapadre,masista na mabruda na wachungaji wakati hupata kipato kupitia sadaka za waumini
.Ili Mwamposya asionekane Tapeli TRA itie timu makanisa yote waanze na katoliki na ya Kipentecoste na Sabato na Lutheran kwenye issue ya PAYE

Watie timu kali za TRA auditing
 
Kafungue na wewe uuze na utoe kodi kama ni rahisi. Kuwa weka watu na kuwa na furaha ya moyon ni zaid ya kodi
Hee hata sisi wauza icecream tinawapa furaha watoto tufutiwe kodi .makanisa yatozwe kodi kuuza maji n'a hizo mingine
 
Unachuki na kanisa katoliki .
 
Umemaliza kila kitu mkuu, binafsi nakerwa na ujenzi holera wa makanisa.Hivi serikali haiwezi situka kuwa huu ni msukumo binafsi wala sio imani, hivi kila familia ikiwa na kanisa lake hali itakuwaje hapo mtaani au wao wanasubiri wakose waumini ndipo wayafunge hayo makanisa.
 
Uzi ulitakiwa uishie hapa
 
Kuna bajeti wanapewa kila mwezi za matumizi yao binafsi.Lakini kama ungekuwa Mkatoliki basi ungejua kila Jumapili kuna matoleo kwa ajili ya mahitaji yao.
Hiyo ni income kwa mujibu wa TRA mshahara sio pesa upewayo kila mwezi cha msingi inaingia kwako kwa kazi ufanyayo inahesabika personal income uiite tegemeza padre,sista au askofu ni personal income hayo majina ni porojo tu za kukwepa kodi za PAYE ni mshahara huo kodi ya mapato unatakiwa kulipa kodi ya PAYE

Hayo maneno ya tegemeza Askofu au padre au Sista ni terminologies za kukwepa income tax tu

TRA tueni kanisa katoliki kuna personal income zimefichwa kwenye tegemeza padri,askofu au sista
 
Ni suala muda tu, Mwamposa atashindwa tu, mtu unaweza kumdanganya lkn hautoweza kumdanganya miaka yote na ungejua huo ushirikina wanavyoupata wala usingetetea labda kama wewe ni mnufaika.
 
Unachuki na kanisa katoliki .
Kanisa katoliki ndilo limechokoza kuwa na chuki na Mwamposya hadi nyaraka wametoa as if they are saints when it comes kwa mambo ya TRA

Wamemrushia mawe Mwamposya na kutoa nyaraka sasa twende kazi

Mwamposya ni taasisi sio individual
 
Ha ha ha naona umeamua kutoa povu kwa Kanisa Katoliki baada ya mchungaji wako Mwamposa kuguswa kwenye ukweli.Au wewe ndiyo unaleta hayo maji kwa Mwamposa
 
Kafungue na wewe uuze na utoe kodi kama ni rahisi. Kuwa weka watu na kuwa na furaha ya moyon ni zaid ya kodi
Kweli Mkuu watu wanapenda kuropoka,kama inalipa na wao si wauze maji yao ya upako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…