Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

Imekuwa rahisi kwa Ruto, kuja na msimamo huo kwa kuwa yeye mwenyewe ni mkristo mzuri tu, kwa upande wetu itakuwa na changamoto kwani, Rais wetu ni muislam, akijaribu issues za udini zitaamka tu.
Na akikumbuka marehemu JPM alivyohandle issue ya ajali kwenye kongamano la Mwamposa Moshi,hiyo yeye Samia kuwakabili ni lazima itasumbua.
 
I
Sheria inaruhusu kwenye investment sio sadaka. Sadaka ni tofauti ya kuuza maji na mafuta ya uponyaji. Hivyo hiyo ni income ipo subject kwa sheria ya Kodi ,Seema tu shida ni enforcement
 

Sadaka na Kikumi ni tofauti na kuuza maji na mafuta ya upako. Hizo ni biashara ambazo zinafanyika kanisani kwa mitume. Hivyo zipo liable for taxation. Mambo ya kusema toeni sadaka niawape mafuta hiyo sio sadaka ni uyapeli. Sadaka unaitoa kwa hiari na hupewi chochote in return.
 
Tatizo unahangaika na sadaka. Sadaka ukishatoa haupewi kitu in return. Mwamposa alishasema let's 5500 halafu nikupe maji anakuwa amaebadilisha Lugha tu Ila anakuwa anauza yale maji. Hivyo Kodi atatozwa tu.
 
MWAMPOSA ANAUZA MAJI MENGI SANA ZAIDI YA KIWANDA CHA MAJI LAKINI HALIPI KODI VIVYO HIVYO NA MAFUTA
Sizani kusema kweli , mwamposa hawezi kuuza maji zaidi ya kiwanda cha maji, wakati yeye mwenyewe ananunua kiwandani ,labda viwanda vidogo vidogo
 

Sijui unachobisha Ni Nini?. Unalazimisha sadaka iwe kundi moja na huo utapeli. Mbona Kuna maduka yanauza soda shilingi 500 lakini ukienda Kemposki soda inauzwa 8000 au 10000 na inatozwa Kodi. So Mwamposa akiuza maji 10000 bado atatozwa Kodi, maana ameuza sio kugawa.
 
Hao jamaa ni wafanyabiashara waliojificha kwenye kivuli cha imani, tena ni wafanyabiashara wakubwa tu wanaotakiwa kulipa kodi.

Kwenye makanisa yao wanauza maji, mafuta, biskuti, TRA kazi kwenu, sasa Ruto ameshawaamsha usingizini.
Ruto msanii tu,mbona wakati anagombea uraisi alimwita Mwamposa akamuombee huko Kenya,na baada ya Kushinda alimualika akahudhurie uapisho wake,usikute hata maji alipewa anywe akapakwa mafuta ya upako.
 
Ni vyema na yeye akalipa kodi kama wafanyabiashara wengine wote.
Hali peke yake hiyo hela. Kuna wakubwa kibao nyuma ya utapeli huo.

Unajua sababu ya nabii Suguye kufungiwa? Nitafute inbox nikujuze.
 
Kajengea Hotel ya nyota nne huko Mbeya,jamaa ni multi billionaire
 

 
Anasahau kuwa hakuna nchi ambayo haina sheria au hakuna kosa likakosa sheria wanasema utahukumiwa kwa sheria zilizopo.
 
Kodi inatozwa kwa sheria, ikiwa Sheria iliyotumika haikuwa sahihi unakata rufaa huko TRAB/TRA kwa Mwigulu mpaka Court of Appeal.
Kwa hali yako nipe full scenario kabla sijawahukumu maofisa wa TRA waliokutoza hiyo kodi
MImi huwa ninatabia ya kununua bidhaa online, sasa kuna siku nikasema ngoja niagize Dongle nikailipia 125k

Baadae nikatumiwa sms niende kuchukua mzigo wangu Posta kitengo cha parcel


Kufika kule nikasaini ila nikashangaa mzigo sipewi ndo nikaitwa TRA naanza kupigiwa mahesabu nikapewa karatasi zinazoonyesha mchanganuo wa malipo jumla ikawa elf 60, kila nikiuliza naambiwa tu utaratibu uliopo ni kulipia kodi (hili tukio lilitokea utawala wa awamu ya tano)

Nikalipia kishingo upande ili niwahi kuirudishia elf 60 iliyonitoka

Kuanzia hapo nikawa najiandaa kisaikolojia kabisa, maana ilifika kipindi mpaka USB ya elf 10 wakataka niilipie kodi
 
Kama maji ni ya kampuni nyingine na yanauza bei ile ile hapo ni case nyingine
Yes sio kampuni yake,Kuna kipindi alianza kutoa yake ,sijui nn kilitokea akaacha , akaendelea kununua ya wengine !
Na bei ni ileile Lita 1 na nusu buku km sikosei,Lita 1 sshv itakua 700...
Mi hapo sioni kama anaanya biashara
 
Mimi ni mkkkt, lkn mwamposa anauzahe maji? Mnifafanulie! Sababu anachukua yaani ananunua kwenye makampuni ya wenye maji akishayaombea, wanaoohitaji wananunua Kwa bei ya kwaida tu km anavyonunua maji mengine!na ndo maana sio lzm unaweza enda na maji yako.. Ss hapo ye biashara ipi kafanya? Maana Hana kiwanda kwamba anazalisha mwenyewe
 
Hao jamaa ni wafanyabiashara waliojificha kwenye kivuli cha imani, tena ni wafanyabiashara wakubwa tu wanaotakiwa kulipa kodi.

Kwenye makanisa yao wanauza maji, mafuta, biskuti, TRA kazi kwenu, sasa Ruto ameshawaamsha usingizini.
Na ushirikina ukiwemo vyote wanatumia hao washenzi, serikali inatakiwa kulinda watu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…