sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kwani mimi nikifungua banda la kuuza maji, bia nk sitakiwi kulipa kodi eti kwa vile nimenunua kiwandani? Kwahiyo ulitaka ayatoe wapi hayo maji ili atozwe kodi.Mimi ni mkkkt, lkn mwamposa anauzahe maji? Mnifafanulie! Sababu anachukua yaani ananunua kwenye makampuni ya wenye maji akishayaombea, wanaoohitaji wananunua Kwa bei ya kwaida tu km anavyonunua maji mengine!na ndo maana sio lzm unaweza enda na maji yako.. Ss hapo ye biashara ipi kafanya? Maana Hana kiwanda kwamba anazalisha mwenyewe