Wapi Uslam umekataza mikopo? Kama hujui masuala ya dini kaa kimya kwani uwezo kumtetea bila kutaja Uislam.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Daaaa!!kweli kuwa MATAGA, inatakiwa ujitoa ufahamu hata kama unao kidogo!!ina maana kipindi cha jk, alikuwa akisafiri anatumia ndege gani?na kumbe hata huelewi inshu ya ndege kukamatwa kuwa haihusiani na deni la ndege husika?kwani ile iliyokamatwa SA, si ndio katika hizo mlizonunua kwa cash?nchi kama una daiwa na kuna mali inatakiwa kukamatwa haijarishi hiyo mali ina deni au haina!!kwanini hamtaki tu kukubali kuwa zama za MZINANKENDE ZIMEKWISHA?Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Uislam!!Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Sio sababu...serikali ina ndege yake. Pia kuna nchi nyingi viongozi wao hutumia ndege za kukodi...Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Ficha ujinga.....Katika uislamu mkopo si jambo la heri.
Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje Kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai??
Tutafakari
Ungejibu hoja yake kwa hoja yako ingependeza zaidiHivi unatumia kiungo gani kufikiri na kutenda wewe zooba?
Hata kunyamaza ni busara piaUngejibu hoja yake kwa hoja yako ingependeza zaidi
Ww ni zero, kwenye uislamu hakuna sehemu iliyosema mikopo ni haramu,bali riba ndo haramu
Wewe ulichagua KUTUKANA kuliko hata kunyamaza, sadHata kunyamaza ni busara pia
Ndiyo hutaki ?Wewe ulichagua KUTUKANA kuliko hata kunyamaza, sad
Halafu wewe eti mwaka 2015 ulihoji kipaumbele cha Elimu Elimu Elimu kwa madai kuwa wewe umeelimika na huoni mantiki yake.Katika uislamu mkopo si jambo la heri.