Tukio gani baya ulilowahi kukutana nalo usiku?

sasa mbona ukawa unasema toka badala ya kukemea kwa kutumia jina la Mungu wako?
Neno usiogope limetatwa mara 365 ndani ya Bible, sikua muoga na niliposema toooka bila kutaja jina la MUNGU haimaanishi sikua na MUNGU ndani, sijui umenielewa hapo?

Sijui nilichokua nakiota sababu ni nini na sijui ni nini kilipelekea nikaanza kuota nilichokiota, I am telling you I was happy in that dream but ghafla kukatokea muovu mmoja akaanza kunifukuza mpaka home, nmeingia ndani na yeye akawa ametokea ndani

Ushaelewa?.. sikua muoga hata nusu I was ready to fight, I am not that coward, ndio maana nikajivuta ili nipambane ile kuuvuta mwili nageuka najikuta nilikua nmelala

Bado haujaelewa kitu?
 
Napamanya pote hyo mitaa,ndo maana nimeshangaa mi ni zao la Loleza girls ya Enzi zilee. So mitaa hyo naijua. Halafu hapo ni mbali mnoo duuu poleni
Mtoto wa Loleza...Mkuu mi nimepiga Iyunga boys Hapo...Loleza tulikua tunawakubali sana umenikumbusha mbali
 
catch you๐Ÿคœ๐Ÿค›
 
w
akala anachukua pesa za mauzo usiku anachanja nazo mbuga mitaani duh!
 
Hahahahah dah nimecheka kisenge sana
 
Yan tangu asubuhi umeme hakuna niko na joto hasira lakin kiukweli nimecheka mpaka nimejamba aisee dah
 
Kuna siku nimetoka zangu sehemu nimeshuka buguruni sokoni ili niweze kuunga gari nyingine kwa ajili ya kwenda magomeni,muda huo ni kama saa 5,nimekaa stand kusubiria gari kumbe pembeni ya lile soko kulikuwa na vijana wanacheza kamari ile ya wachina ya mia mbili mbili,hamadi kusimama kwangu pale kumbe kuna asikari wa doria wa kituo cha buguruni wakawa wanataka kuwakamata wale vijana walikuwa wengi kidogo si wakapiga filimbi na kuwaambia simamemi mpo chini ya ulinzi kukawa na mkimbizano nikajikuta nimesimama kati nawaangalia jinsi wanavyokimbizana ila baadhi yao walikamatwa......hapo moyo wangu unadunda mapigo ya moyo kama yote sintasahau iyo siku kwakweli,ila kutembea usiku panahitaji ujasiri sana
 
Yan tangu asubuhi umeme hakuna niko na joto hasira lakin kiukweli nimecheka mpaka nimejamba aisee dah
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Yan maji yametoka Leo at least nimeoga mara mbili Jana nikipiga deshi na umeme hakuna joto kama lote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nilishuhudia mbwa wangu akifa tena niliua mwenyewe pasipo kujua.....Home tulikuwa tunafuga chairfire muda ukifika wa ada tunauza tunalipa....nimesoma kwa njia hiyo....sasa sikuhiyo chairfire alitoka bandani so nikawa nafukuzia ile night ili aingie bandani mdomoni nimebana simu ya mama nipate mwanga....mkono mmoja nimeshika nyundo na msumari wa kureplace pale alipotokea chairfire.....nikaona ananizungusha tu haingii bandani,si nikainua nyundo nimwotee makalio ....daaa si mbwa wangu akawa kajitokeza alikula nyundo ya kichwa...akazimia akajazinduka bembeleza samaki ale wapii....nikaamua nikalale kuamka asubuhi kamanda kafa.... ๐Ÿ˜ญ ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญnalia mpaka Leo jamani ....I killed it mweee.....yaan daaa.
 
Mtoto wa Loleza...Mkuu mi nimepiga Iyunga boys Hapo...Loleza tulikua tunawakubali sana umenikumbusha mbali
Mapatna wetu Iyunga boys. Sema sasa ss haikuwa perfect combo kwa sbb Iyunga enzo tunasoma wao walikua o level pekee. Ss form five na six enzi hzo. Vipi wameshaanzisha A level I hope so.
 
we muoga sana ndugu hadi wa polisi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Dada muuaji huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ