Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Daah! Inaumiza na inafundisha... ila alioa mwanamke mjinga sana...
 
Vijana wa kunyandua wake za watu, kipimo kile unachopia,ndicho utakachopimiwa hata kama ni,kataa ndoa!
 
Kuna mwanamke mmoja alinipa kitumbua kitamu sana, sikujua Kama alikuwa ni mke wa mtu, Tena alinipa mautundu mengi sana. Baadae naomba Tena ndo ananiambia mme wake amarudi kutoka safari.
Ukawekwa kiporo!
 
Story nzuri,ila inauma sana!
 
Hii dunia ngumu.
 
Usifanye maisha kuwa magumu namna.hiyo. Jipende mwenyewe na usiamini kiumbe yoyote. Ikitokea amekusaliti na huwezi kusamehe muache aende. Maisha ni zaidi ya mahusiano ya Mapenzi. Usiharibu maisha yako sababu ya mtu fulani.
 
Asante sana ndg hili nilishalielewa toka mwanzo hivyo nashukuru kwa kuongeza maarifa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…