Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu mkubwa wakaja wakamtoa lodge haraka kwa kisingizio amezimia na wanamuwahisha hospitali. Uncle alikua ametoka kuoa miezi kadhaa tu kabla hili tukio lililosababisha umauti wake kutokea.
Kushuhudia hilo jambo ndani ya familia na namna lilivyotokea hasa hasa fact ya kwamba baadhi ya ndugu ambao nao wako kwenye ndoa walikua wanajua uncle ana mchepuko, iliniwia ugumu sana kuamini kwamba uaminifu ndani ya taasisi ya ndoa bado upo.
Mliopo single, timu kataa ndoa au wenye mahusiano, njooni mtushirikishe na nyie mliyojionea.
bro
Bro wangu anafunga ndoa jmosi, jpili anafumania mkewe akiliwa na best man wake! Mkulya kidogo atenganishe mtu kiwiliwili! anko akaokoa jahazi!
Nyingine, Bro kaoa vzr tu, ana mawe yake, ndinga, mjengo safi,mke anahudumiwa vzr tu,
Kumbe kuna kijana jobless, form four, bishoo kiasi,anamchanganya Shem kwa unyunyu anaopiga,Dogo Kala mzigo,! Nilikuwa bado Dogo kipindi hicho, nipo college, nikasema wanawake ni nyoko kabisa,
20yrs later, bro ameishastaafu, yupo kwenye 60s, watoto wapo chuo, ndoa inaendelea, yule bishoo, aliingia jeshi, sasa hv atakuwa, na familia,
Kugongewa ni balaa, utqumia kama haujawahi, kulifikiria