musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Yes kama maisha yako hayana nidhamu...KATAA NDOA...itakunyima "uhuru" unaodhani kuwa ni uhuruKATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Nidhamu ndio uhuru halisi...kuepuka anasa na starehe kupita kiasi,kuepuka uchafu ngono,uasherati ,uzinzi na yanayoambatana nayo...na kuwa mwaminifu kwa jamii yako
Haya yakifungwa na kumcha Mungu ndio yanajenga jamii ya watu wanaopenda NDOA na kuliona kama jambo la kheri kutoka kwa mwenyezi Mungu
Kupanga ni kuchagua ...katika yote mawili mwisho wake unafahamika