Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Kweli kaka aseeh

Najijua yaani mm hata demu sitaki tuzinguane na ikitokea ni hapo hapo urafiki unaisha yaani

Sasa sijui nisikie mke ety anatafunwa waziwazi siombei lakini aseeh

Sintohitaji vikao vya mshenga wala mzazi wala nani? Aondoke tuu au nimfunge jela!

Nikioa nadhani kwenye maombi yangu ni kuiombea ndoa yangu 😂 haitokwepeka na nikiona kwa ndoto basi bibiye talaka tatu
Kwa kweli umesema ya moyoni mkuu!

Mungu akupe mke mwema ... Nilichojifunza ni kuwa ... Mwanaume kwa asili ana wivu wa kiumiliki.

Mwanaume ameubwa kimiliki so ikitokea mahali anapomiliki akamiliki mwingine kwake Huwa la fedheha na matusi!

Wachache wanaweza kusamehe na kuendelea na maisha na mtu huyo huyo aliye cheat ila wengi ni ngumu sana.
 
Mim lilinikuta jambo ambalo kwangu nildhan lisingewezekana. Ilkuwa hiv nilkuwa nnaishi nyumba moja na jamaa flani mwenye mke na watoto watatu maeneo flan yaliyo jitenga kias.
Sasa yule jamaa alkuwa anaingia kazin usiku sometime mchana.
Na mke wake alkuwa ananijali kwel kama shemej yake.
Baadae nilisafiri kwa siku kadhaa yule mama(shem) akachukua namba yangu kwa dogo niliyekuwa nmemuachia funguo,hapo ndo zikaanza sarakas.
Textz za salam zikawa nyingi kweli hata niliporud.
Nikaanza kuhisi kitu tofauti kadri siku zilivyosonga, ila nikasema siwez lala na mke wa mtu tena jirani yangu tunayeheshimiana naye,na ukizngatia nilkuwa sina stori na huyo shemej yangu zaid ya salam.
Sasa bhana sku moja akaja usiku akaniletea chakula et kapika kingi sana.
Namim siku hiyo hormones zilkuwa juu kinouma na kama kawaida yake alkuja kiuchokoz chokoz. Nkajikuta nnamvuta kifuan nkamwabia ukimaliza kula uje ila jitahid watoto wako wasikuone na mlango stafunga ufike unausukuma tuu,akasema sawa.
Asee kama utani vile kias cha lisaa hiv akatinga kajifunika kikoi cha kimasai tuu, yaana hata hakuvaa chup asee.

Nijikuta nishamlaza kibla. Wala skutaka romance nilitinga nyavun fasta na alkuwa na utelezi sijawah kuona.
Nilkuwa na waswasa sana mpaka akaniambia acha uoga.
Tulivo maliza kudinyana niljuta saana nikasema starudia, ila yeye sasa ikawa ndo kila ikifika usiku anataka aje tudinyane.Lakin nikakaza.
Mbaya zaid akaanza kuniambia madhaifu ya mme wake na akaanza kuleta ukorof kwa mmewe, kiukweli nilijiskia vibaya nkawa namwambia muheshim mmeo lakin ndo kwanza vurugu kama zote. Nkaamua, kumblacklist mpaka leo na nkahama kabsaa.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kuwa seduced na mwanamke kwa kiwango kile. Na huwa nnajiamin kwamba niko solid dhidi ya ushawish wa mwanake, lakin nilijikuta nnavunja kanuni zangu mwenyewe bila kulazimishwa. Saiv ndo niko kuanza misimamo upya baada ya lile anguko😃😃😃.
 
Kwa kweli umesema ya moyoni mkuu!

Mungu akupe mke mwema ... Nilichojifunza ni kuwa ... Mwanaume kwa asili ana wivu wa kiumiliki.

Mwanaume ameubwa kimiliki so ikitokea mahali anapomiliki akamiliki mwingine kwake Huwa la fedheha na matusi!

Wachache wanaweza kusamehe na kuendelea na maisha na mtu huyo huyo aliye cheat ila wengi ni ngumu sana.
Amen mkuu!!

Nilishasema kuwa nikioa napenda amani zaidi kuliko kitu chochote, mke wangu nitampa ninavyo vihitaji!

Majibu ya hovyo sipendelei, kelele .... Bora aniambie nisaidie Ila siyo huna mikono hukiona ntamharibu uso 😂

Mimi wivu ninao for sure ntakufa 😂
 
Mimi na mwanamke mwenye makelele au kisirani tofauti kabisaaa.

Aisee Mungu akupe hitaji la moyo wako!

Kuna wanawake wapole, wakimya ulilosema kitu ... Kwa Unyenyekevu anakueleza hili hapa Mzee sio rekebisha na yanaisha hapo hapo

Habebi moyoni! Ila sidhani kama hawa watoto 2000 wapo wa kundi hilo
 
Mkuu visa ni vingi Sana hiki kimoja kiko kabisa kwenye familia yangu, hii NI kama karma fulani hivi! Baba yangu mkubwa alichepuka na mke wa jirani Yake kabisa na mwisho wa siku Yule mwanamke akashika mimba na akazaa mtoto ila ndo hivyo mumewe alimbakiwa na maisha yaliendelea. Sasa Yule mtoto ambae for now ni Kaka yangu kadri alivyokuwa anakua akazidi kufanana na mshua mpaka ikaja kujulikana kwamba huyo mtoto ni wa Fulani na mshua alipoulizwa na baba Yake ( babu yangu) akakiri kwamba ni kweli ila hajui cha kufanya maana atavuruga NDOA Yake na ya jirani Yake ila bahati mbaya kabla sekeseke halijapamba Moto mshua akafariki ghafla hivyo ni kama Ile ishu ikapoa. Badae mume wa Yule mama akashtuka na akambana mkewe mpaka akasema ukweli hivyo Jambo likawa lizo wazi kabisa kwa watu wote. Babu yangu akawaita Baba zangu waliobaki akiwemo Baba yangu akawambia inabidi wafanye utaratibu wamnunue Yule mtoto ( hapo alikuwa tayari mkubwa kama miaka 15 hivi) ila kabla hawajaliweka Sawa babu yangu nae akafariki hivyo mchakato ukakwama tena mpaka badae mtoto alipofikisha miaka 18 ndo alichukuliwa rasmi akaja kwenye familia yetu kama Kaka yetu and yes tunafanana maana sisi kwetu wengi wetu tunafanana. Mama Yake mzazi aliendelea kuishi na mumewe pamoja na yote alisamehewa ila sasa😆😆😆😆karma is a bitch Kaka yangu huyuhuyu baada ya kufika umri wa kuoa alijilipua alioa mwanamke ambae ni single mama japo alionywa Sana maana huyu binti alikuwa anajulikana ila alishupaza shingo akaoa hivyohivyo ( HISIA ZILIZIDI AKILI) na alimuoa Yule dada mtoto wake akiwa mdogo Sana jamaa akalea mpaka Dogo akakua basi wakapata na wao mtoto wao wa Kwanza ila kabla hajakua vizuri wakapata mtoto mwingine tena (walibebanisha watoto) ajabu huyu mtoto alipokua akawa anafanana Sana na first born wa yule dada aliyetoka nae kwao. Baadhi ya ndugu walianza minong'ono ila Mzee wangu alikemea vikali na akasema asije kusikia mtu anaongea chochote. Akazaliwa mtoto mwingine wa 3 sasa 😃😃😃😃nyie watoto wa kuiba wanafanana na wezi balaa nae akaja kufanana copyright na wale wengine wawili kwahiyo mtoto pekee aliyekuwa tofauti ni Yule waliyempata wa Kwanza kwenye ndoa yao. Sasa sekeseke likaja hivi juzi shangazi Yake na huyu shemeji yangu walikosana walipokuwa kwenye sherehe huko kwao na walitoleana maneno machafu Sana(familia ya huyu shemeji yangu Wana uswahili Fulani hivyo kutoleana maneno machafu kwao ni kawaida) si shangazi mtu akaropoka kwamba huyu shemeji ashukuru kapata mume asiye na makuu kwa umalaya wake kamzalia watoto wote wawili nje ya ndoa ila mume haelewi analea tu na huyu akiendelea kujifanya mjuaji atamsema baba halisi wa wale watoto mbele ya hadhara maana anamjua😆😆😆shemeji akawa mpole bwana na akamuomba aunt Yake asiendelee kuongea ila sasa tayari Wana familia na watu wengine waliokuwepo pale walishasikia, aunt alikasirika kupita kiasi mpaka akaropoka baba halisi wa wale watoto🥺🥺🥺ni ndugu kabisa wa yule shemeji (uncle wake)aisee ikawa balaa na maneno yakafika kwetu. Bro hakumuuliza chochote zaidi alimchukua Yule mtoto wake halisi akamhamisha shule akampeleka kwa shangazi yetu (PWANI) na yeye akasepa na nguo zake tu akamwacha mwanamke pale walipokuwa wanaishi mpaka Leo, hajawahi kuongea na yeyote kuhusu hili sakata ila alimwambia tu Mzee kwamba huenda dhambi ya mama yangu na Baba yangu inanitafuna hivyo nahitaji utulivu niweze kutubu . Mpaka Leo yupo huko kanda ya ziwa na ni bachelor mpaka sasa
Mkuu hiyo kauli ya bro wako imenichekesha kinouma.
 
Mimi na mwanamke mwenye makelele au kisirani tofauti kabisaaa.

Aisee Mungu akupe hitaji la moyo wako!

Kuna wanawake wapole, wakimya ulilosema kitu ... Kwa Unyenyekevu anakueleza hili hapa Mzee sio rekebisha na yanaisha hapo hapo

Habebi moyoni! Ila sidhani kama hawa watoto 2000 wapo wa kundi hilo
Mimi sipendi kelele hata ile maza nyumbn tuu anafoka mm nakosa amani hapo hapo!

Au mwanamke anapiga kelele za ajabu ajabu aseeh nashindwa kukaa

Amini Mungu anipe mke mwema aseeh naomba hili na ninastahili...

Lakini kelele, ama dharau ety kisa kazoea ndoa kwangu sintolipa nafasi!

Hata kama mazoea tuheshimiane as we were
 
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu mkubwa wakaja wakamtoa lodge haraka kwa kisingizio amezimia na wanamuwahisha hospitali. Uncle alikua ametoka kuoa miezi kadhaa tu kabla hili tukio lililosababisha umauti wake kutokea.

Kushuhudia hilo jambo ndani ya familia na namna lilivyotokea hasa hasa fact ya kwamba baadhi ya ndugu ambao nao wako kwenye ndoa walikua wanajua uncle ana mchepuko, iliniwia ugumu sana kuamini kwamba uaminifu ndani ya taasisi ya ndoa bado upo.

Mliopo single, timu kataa ndoa au wenye mahusiano, njooni mtushirikishe na nyie mliyojionea.

View attachment 3237184
cc: Natafuta Ajira To yeye Nomadix
Keshatangulia mbele za haki na alikuwa mashuhuri hebu mtaje walau hata kwa jina moja usijekiwa unanogesha uzi tuu.
 
Mimi sipendi kelele hata ile maza nyumbn tuu anafoka mm nakosa amani hapo hapo!

Au mwanamke anapiga kelele za ajabu ajabu aseeh nashindwa kukaa

Amini Mungu anipe mke mwema aseeh naomba hili na ninastahili...

Lakini kelele, ama dharau ety kisa kazoea ndoa kwangu sintolipa nafasi!

Hata kama mazoea tuheshimiane as we were
Tunafanana ... Nimekosea nielekeze kwa upole na Kwa sauti ya chini!

Kelele ni kama matusi kwangu, sijui nahisi Pengine maturity wa wanawake wengi since ni wavivu kuongeza Maarifa kwa kusoma vitabu na makala mbalimbali

Akili zao zinakuwa tupu na Giza kiasi kwamba Wana amini matatizo yanasuluhishwa na makelele au kufoka au kujionyesha na wao kuwa wanajiweza

So ukiwa utafuta mke jaribu kumkera ili uwone upande wake wa pili ... Au wale wa kususa susaaa
 
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu mkubwa wakaja wakamtoa lodge haraka kwa kisingizio amezimia na wanamuwahisha hospitali. Uncle alikua ametoka kuoa miezi kadhaa tu kabla hili tukio lililosababisha umauti wake kutokea.

Kushuhudia hilo jambo ndani ya familia na namna lilivyotokea hasa hasa fact ya kwamba baadhi ya ndugu ambao nao wako kwenye ndoa walikua wanajua uncle ana mchepuko, iliniwia ugumu sana kuamini kwamba uaminifu ndani ya taasisi ya ndoa bado upo.

Mliopo single, timu kataa ndoa au wenye mahusiano, njooni mtushirikishe na nyie mliyojionea.

View attachment 3237184
cc: Natafuta Ajira To yeye Nomadix

baltazar embanga engonga
Story za video zake zinaelezea kinachotokea kwenye ndoa,
Maofisini, Majumbani
Matukio ya Baltzar yapo hata kwenye ndoa zetu,
Peoples hazijatulia zinapenda down sana
 
Tunafanana ... Nimekosea nielekeze kwa upole na Kwa sauti ya chini!

Kelele ni kama matusi kwangu, sijui nahisi Pengine maturity wa wanawake wengi since ni wavivu kuongeza Maarifa kwa kusoma vitabu na makala mbalimbali

Akili zao zinakuwa tupu na Giza kiasi kwamba Wana amini matatizo yanasuluhishwa na makelele au kufoka au kujionyesha na wao kuwa wanajiweza

So ukiwa utafuta mke jaribu kumkera ili uwone upande wake wa pili ... Au wale wa kususa susaaa
Hilo ntalifanyia kazi

Kuna dada mmoja mnyamwezi aseeh yule nilimpenda for sure, ukiachilia mbali haiba aliyo nayo ya kike ana tabia njema, alikuwa anazungumza kwa ukarimu aseeh yule binti alikuwa kalelewa hasa!
 
Kwanini ulimpoteza?
 
Back
Top Bottom