Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Hapana mkuu! Nimewaza tu mara mbili! Na kujaribu kuunganisha matukio fulani!

By the way ... Mimi sio tu naogopa mke wa mtu ila napata kinyaa!

Dots nimezionganisha kwa baba yangu mdogo ni humo humo
inahitaji ujasiri kuchomeka anapomwagia wenzio huku unajua kabisa, akikwambia usipige mume wangu yupo unajua tu hapa lazima mzigo uliwe inauma hata kama atakuoooza ooh nimemnyima nimekuwekea wewe, yaani amnyime aliyemtolea mahari ambaye wakati anaolewa aliambia marufuku kulala na chupi, halafu anakupa moyo oo yule nimnyima huwa muda mwingine hao wanajisifu kula wake za watu nawaona mazuzu tu
 
Una shida mahali wewe 🤣
giphy.gif
 
Nyingine nakumbuka japo sikuwa mkubwa Sana ila mpaka Leo nakumbuka. Baba wa rafiki yangu ambae tulikuwa majirani alikuwa anasumbuana Sana na mkewe( Yule mama alikuwa na mambo mengi) mpaka ikafikia hatua Yule Mzee akaamua kuoa mke wa pili.
Kumbe Yule mke wa pili alimdanganya Mzee kwamba ana mimba Yake na Mzee akafurahi na kuamua kumuoa kumbe mimba yenyewe haikuwa Yake😆😆😅na stress zake ikawa rahisi kumhadaa mpaka kaingia mkenge akaoa.
Sasa bimkubwa nae akaendelea na mbanga zake nje mpaka akazaa mtoto ambae hakuwa wa Yule mzee sasa Mzee alidata(alishajua kwamba mtoto wa mke mdogo si wake na huyu wa kwa bimkubwa nae akagundua si wake)
Akafanya maamuzi magumu akawaita wake zake akampa kila mmoja nauli na kuwaamuru waondoke wawapeleke wale watoto kwa Baba zao halisi ndipo warudi kwake na aliwapa one week. Atakayezidisha hizo siku bila kukamilisha zoezi na kurudi kwake basi ndo kwaheri asirudi tena😅😅😅. Bi mdogo akawa mjanja akampeleka mtoto wake fasta kwao na akarudi ila bimkubwa ikawa changamoto maana aliyezaa nae ni mume wa mtu na kwao yupo Baba yake tu mama Yake alishafariki hivyo hawezi kuacha mtoto kwao na bahati mbaya kwake wa kwake alikuwa mdogo zaidi bado ananyonya unlike wa mwenzie alikuwa ameshaacha kunyonya.
Basi bimkubwa ndo ikawa imeisha hiyo mpaka Leo Yule rafiki yangu wamelelwa na huyo mama Yao wa kambo (mke mdogo) ila alikuwa mwema aliwalea vizuri Sana mpaka sasa wanampenda na kumheshimu Sana. Sad story mama Yao kwa hasira na aibu alienda kumtelekeza mtoto kwa aliyezaa nae na akapotelea kusiko julikana mpaka Leo hawajawahi kujua alipotelea wapi🥺
 
mkuu Django Doer Kuna shida gani na hayo madislike yako, kama haujapenda au haujafurah mimi kukoment si unakausha tu
Kumbe na wewe anakudislike, I thought ni mimi tu yani anakuja kwenye nyuzi zangu napata notification ya dislike kama 20 hivi. WHY?
 
inahitaji ujasiri kuchomeka anapomwagia wenzio huku unajua kabisa, akikwambia usipige mume wangu yupo unajua tu hapa lazima mzigo uliwe inauma hata kama atakuoooza ooh nimemnyima nimekuwekea wewe, yaani amnyime aliyemtolea mahari ambaye wakati anaolewa aliambia marufuku kulala na chupi, halafu anakupa moyo oo yule nimnyima huwa muda mwingine hao wanajisifu kula wake za watu nawaona mazuzu tu
Kweli kabisa mkuu! Inahitaji mtu mwenye roho ngumu sana au mwenye tamaaa sanaaaaaaaaa kumla mke wa mtu!

Kuna vitu vingine ni Bora vikupite tu
 
Kweli kaka aseeh
Mungu akusaidie sana mkuu

Umesema kwa hisia sana 😂
Najijua yaani mm hata demu sitaki tuzinguane na ikitokea ni hapo hapo urafiki unaisha yaani

Sasa sijui nisikie mke ety anatafunwa waziwazi siombei lakini aseeh

Sintohitaji vikao vya mshenga wala mzazi wala nani? Aondoke tuu au nimfunge jela!

Nikioa nadhani kwenye maombi yangu ni kuiombea ndoa yangu 😂 haitokwepeka na nikiona kwa ndoto basi bibiye talaka tatu
 
Back
Top Bottom