Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Mimi nilikuwa na mahusiano na binti mmoja lakini bahati dini zilikuwa tofauti baada ya miaka kadhaa ya kudate naye.....kwao akatokea mchumba akamuoa lakini.... aliniambia kuwa pamoja kuwa nimeolewa lakini huu UCHI ni mali yako......na mtoto wa kwanza nitazaa na wewe......

Yale maneno yalinitafakarisha sana kuhusu ndoa....nilimuonea huruma sana mwanaume mwenzangu....yule mwanamke kila akinitafuta namzungusha tu....mpaka akakata tamaa akanipotezea.....
Mpaka uchi ulitaka ku binafsishiwa kweli duniani kuna mitihani mingi.
 
Kuna Dadaa alikuwa rafiki yangu ,wa kawaida Baadae akaolewa kwa hasira kwa Sababu alimfumania mshikaji wake, yeye Hasira akaolewa na ustadhi mmoja hivi Dada anajuta sana kuolewa anasema akiliwa na Mme wake hapati Raha yoyote Katika tendo nikasema Mimi sitokuja kuoa..,,
 
Ni kweli nimeshaona mengi, mengine nikiandika humu hakuna mtu atakayeamini.
Nakua interested kushare ili pia nisikie ya wengine nao wameona nini kwenye maisha.
Why nitunge story, inanisaidia nini sasa?
Tuandikie basi ambayo hatutaamini mamy😅😅😅 sisi wanahabari tuna msemo wetu unaosema “Stori ni ile ya mtu kumng’ata mbwa na sio mbwa kumng’ata mtu”
 
Niliwahi kupanga nyumba moja maeneo ya magomeni miaka kadhaa nyuma......yule Baba mwenye nyumba sikujua shughuli zake lakini alikuwa adimu sana......nadhani alikuwa mtu wa safari sana.....ni mbaba tu wa makamo kwa wakati ule.......

Yule alikuwa kila mume wake akitoka kisafari alikuwa anaingiza wanaume tofauti tofauti nyumbani kwake.....na hao wanaume walikuwa huru utasema wao ndio wenye nyumba....

Kilichokuwa kinanishangaza mpaka watoto walikuwa wanaona lakini hawakuonekana kukerwa wala kushtushwa na hali ile.....dah! Lile jambo lilishangaza sana
Una uhakika walikuwa wanaume zake au ni hisia zako tu?

Maana watu wa uswazi wasikuone Mwananume uko na Mwanamke tu wanawaza kudinyana tu.
 
Tuandikie basi ambayo hatutaamini mamy😅😅😅 sisi wanahabari tuna msemo wetu unaosema “Stori ni ile ya mtu kumng’ata mbwa na sio mbwa kumng’ata mtu”
Njoo huku mamy, nilikereka nikaifungulia hii ishu uzi wake 😵
 
Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu mkubwa wakaja wakamtoa lodge haraka kwa kisingizio amezimia na wanamuwahisha hospitali. Uncle alikua ametoka kuoa miezi kadhaa tu kabla hili tukio lililosababisha umauti wake kutokea.

Kushuhudia hilo jambo ndani ya familia na namna lilivyotokea hasa hasa fact ya kwamba baadhi ya ndugu ambao nao wako kwenye ndoa walikua wanajua uncle ana mchepuko, iliniwia ugumu sana kuamini kwamba uaminifu ndani ya taasisi ya ndoa bado upo.

Mliopo single, timu kataa ndoa au wenye mahusiano, njooni mtushirikishe na nyie mliyojionea.

View attachment 3237184
cc: Natafuta Ajira To yeye Nomadix
Kuna mwanamke mmoja alinipa kitumbua kitamu sana, sikujua Kama alikuwa ni mke wa mtu, Tena alinipa mautundu mengi sana. Baadae naomba Tena ndo ananiambia mme wake amarudi kutoka safari.
 
Kuna mwanamke mmoja alinipa kitumbua kitamu sana, sikujua Kama alikuwa ni mke wa mtu, Tena alinipa mautundu mengi sana. Baadae naomba Tena ndo ananiambia mme wake amarudi kutoka safari.
Daah hawa wake za watu wanaowapa mbususu bila kuwaambia kua wana ndoa ni jau sana!
 
Back
Top Bottom