Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

Huu uzi nina usoma masaa hayo na niko safarini kikazi ila nilitoa maelekezo kitambo sana na anajua kuwa kuwa mimi kwenye kosa la namna hiyo sitoi hata kadi moja ya njano,ni kuzama ndani ya mfuko wa bukta tu na kumuonesha kadi nyekundu na hata kwenye kadi silazimiki kuandika chochote.
 
Kiukweli ni tukio la kuchepuka ila kauli ya mwanandoa mmoja ndio ilinishangaza. Kuna m mama mmoja umri kama miaka 40 hv anamume lakini alikuwa na michepuko ya kutosha mtaani na mumewe Kila alipokuwa anaambiwa akawa ni kama zoba hv achukui maamuzi, sasa siku moja tuko sehemu tunakunywa na Kwa chobingo yule mother yupo na mchepuko wake wanakunywa bia. Siku hiyo mumewe sijui ndio akawa kama kazinduka baada ya kutonywa na watu akaibuka eneo la tukio. Alipofika eneo la tukio hakuleta varangati ila alimuita mke wake then akaanza kumletea ugomvi. Kauli iliyomtoka yule mama ndio iliyonishangaza. Mother kamwambia mumewe kama kukuzalia nimekuzalia watoto wanne, kama kunitomb...umeshanitomb... Sana, sasa baba imetosha hii iliyobakia hapo( yaan K yake) ni yake ya kunywea pombe na kula atakacho
Mama la mama uyo Hana hata aibu mbele za watu Kwel
 
Niliona message ya Mke akimwamwambia mchepuko wake hana hamu na mume wake wakifanya anaona kama anambaka na inabidi awaze yupo na mchepuko wake ili stimu zipande. Vijana kagueni simu za wake zenu muondoe kupe mapema kabla haijamia moyoni.

Nyingine nilidate na mke wa mtu unknowingly...yule mwanmke nilipogundua ni mke wa mtu nikamuuliza kwann unacheat akaniambia yangu inafit vizuri kwake ya mumewe ina pwaya nikagundua shida jamaa alioa mwanamke ambae alishaonja tofauti tofauti...haridhishwi nae. Nilisitisha yale mahusiano baada ya kumla mara mbili.
Duh! Vibamia kazi tunayo
 
Kiukweli ni tukio la kuchepuka ila kauli ya mwanandoa mmoja ndio ilinishangaza. Kuna m mama mmoja umri kama miaka 40 hv anamume lakini alikuwa na michepuko ya kutosha mtaani na mumewe Kila alipokuwa anaambiwa akawa ni kama zoba hv achukui maamuzi, sasa siku moja tuko sehemu tunakunywa na Kwa chobingo yule mother yupo na mchepuko wake wanakunywa bia. Siku hiyo mumewe sijui ndio akawa kama kazinduka baada ya kutonywa na watu akaibuka eneo la tukio. Alipofika eneo la tukio hakuleta varangati ila alimuita mke wake then akaanza kumletea ugomvi. Kauli iliyomtoka yule mama ndio iliyonishangaza. Mother kamwambia mumewe kama kukuzalia nimekuzalia watoto wanne, kama kunitomb...umeshanitomb... Sana, sasa baba imetosha hii iliyobakia hapo( yaan K yake) ni yake ya kunywea pombe na kula atakacho
Aiseee kweli huyo kiboko.
 
Ndoa sio kwa wajinga ili udumu na ndoa lazima uwe na akili haswa sio zile za G.P.A kubwa

USSR
Hao wenye akili wanaoingia ndoani ndio hawahawa wanaokuja kulialia humu JF kwamba ndoa zao zimewashinda.

Sasa kama wenye akili walioko ndoani wanataka kutoka huko, Nani ni mjinga kati ya waliopo ndoani na kataa ndoa?
 
Siamini kama kweli binadamu waliumbwa ili kuja kuoana bali kuzaana tu. Ukweli ni kwamba mwanaume akishalala na mwanamke ile hamu ya kumtaka tena huyo mwanamke inapungua kwa asilimia 80 au hata 90, na ndiyo maana wanaume hatutulii, si kosa letu ndivyo tulivyo umbwa. Kwenu wanaume ebu jiulizeni hii kitu, hivi baada ya kutomba mwanamke uliyekuwa unamfukuzia, ni nini tena unataka kutoka kwake au huyo mwanamke ana faida gani tena kwako? Mwanamke hana thamani tena baada ya kutombwa na ndiyo maana nashindwa kuelewa wanaume wenzangu unakwenda kumuhonga mwanamke hela ya kazi gani wakati hana thamani yeyote kwako?
Hujakomaa...kuna zaidi kwa mwanamke na mwanamume...ni zaidi ya kukutana kimwili

Kama ni kijana sawa...lakini kama ulikuwa una amini hili...yaani ufuska...umalaya na mambo machafu,asilani hutakaa na huwezi mambo ya ndoa...subiri kuona wenzako tukizeeka hali tukifurahia matunda na furaha nzuri ya ndoa

Kupanga ni kuchagua
 
Daaah, watu wanapitia misukosuko jamani 💔❤️‍🩹
Kabisa...maisha usipoyaendea kwa adabu,usipokuwa makini kutumia uhuru wako,lazima yawe na visa...

Utachukia ndoa...na visa vitakuandama...utafumaniwa na wake au wame za watu...ndio binadamu hajaumbwa kukaa peke yake...

Na ukizeeka utakuwa deserted,kama alietelekezwa...Huna familia ,hadi unakufa utakufa kwa aibu.

Mungu atujalie kumcha ili tuimudu dunia na vurugu zake
 
Back
Top Bottom