Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

Sitasahau nilipokula tikiti nikafikiria ni nani anayeweka sukari mule. Nikaamini Mungu yupo kweli
 
Najua watu kibao waliosoma hii thread wamepitia app zao kuangalia salio la account zao??🤣🤣🤣
 
Huyo ambaye yupo ambaye hana mwanzo wala mwisho na ambaye ni Muweza wa vyote vilivyopo ni nani?

Kwa nini unadhani lazima iwe nani, na isiwe nini?

Huoni una lazimisha swali liwe lina onesha uwepo wa mtu fulani ambaye una ulizia ni nani,

Licha ya kwamba inaweza kuwa ni kitu, ambacho ni nini, badala ya ni nani ambaye ni mtu,

Ambacho kitu hicho ni ulimwengu wenyewe kuwepo tangu mwanzo na hata milele.
 
Dereva alikuwa tatizo. Pole sana
 
ulimwengu ni vitu vingi ikiwemo hata wewe,muda,nishati na katani kwenye mipaka ya shambani hapo inabadili nini sasa kwamba vimetengenezwa vyote pamoja

broo em vuta hata pumzi uitoe kisha chukua time yako uaminie hayo maujanja nyuma ya uumbaji
 
Ujanijibu swali langu nimekuuliza wewe una akili?
 
Weeeeee Bado hujakutana na msala Kila mtu anakukimbia weeeeee acha kabisa Mungu yuko jamani
 
Akili kama ipo, ipoje?

Thibitisha Akili ipo.
Mimi ndio nimekuuliza swali how come unaniuliza tena mimi swali.
Ungekuwa unataka uthibitisho juu ya akili unge niuliza mapema why una niuliza baada ya mimi kuuliza?
Nime pose maswali mengi kwako lakini haujibu nilicho notice nikuwa kila nikikuuliza swali una escape kwa kuuliza swali juu ya swali instead ya kutoa majibu.
It seems hauna majibu dhidi ya maswali yangu.
 
Kama msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika then its better kuamini kuliko kutokuamini .
That means ni bora anayesema Mungu yupo kwani ikatokea hayupo ana cha kupoteza vipi wewe kwa upande wako unasema hayupo alafu at the end kumbe yupo .?
 

kama zinakubali juu ya uwepo wake,kwa nini zinamtafuta kwa namna tofauti huku kila mmoja akimuona mwenzake kakosea?
 
Wacheni ujinga, hisia zenu ndio znawafanya mumsingizie huyo Mungu wakati hajafanya lolote.

Unapopona katka ajari shukuru nafasi/siti uliyokaa ndio BAHATI YAKO na wala sio Nguvu za Mungu, huyo atakuwa Mungu wa aina gan mpumavu anashindwa kuponya watu ktk ajari anabagua na kuponya baadhi uku wengine akiwasaidia?

Pili unapopitia maswahibu ya dunia Mungu hana msaada na wew kama hauna wewe mwenyewe njia ya kujikomboa ama hauna bahati au hauna watu wa kukushika mkono, huyo Mungu angekuwa anatenda basi angekuwa anafanya pasipo wew mtu kuhusisha juhudi zako, nguvu zako wala uwezo wako msimsingizie Mungu wakat yuko zake mbingun anakula bata na malaika zake, wakat huo viumbe wake wanateseka dunian.

Tatu, unaposema ulifauru sababu ya Mungu huo ni uongo, maana majibu yote uliyajaza pasipo kumuhusisha Mungu wala uweza wake zaid ulitumia akili yako finyu iliyojiakaza na kukumbuka baadhi ya mambo uliyosaidika kujibu.

Mungu angekuwa anawaokoa basi angeokoa wengi pasipo kujieleza sana achen kumpa credits asizo zihitaji wala asizo stahili.

Washukuruni watu waliowaokoka ktk shida zenu, walaumuni madereva wazembe waliotaka kuwasababishia majanga road, pia muwe makini kufuara sheria za barabaran, alafu mkumbuke kutafuta pesa, Mungu hana rafik wala hana ushirika na watu masikini na mafukara.

Tumien akili zenu zitawaponya, hizo imagination zenu ndizo zinawafanya muwe vilaza ndiomaana afrika ni masikin sababu ya mindset za kuamini upumbavu wa huyo Mungu wenu wa kuletewa
 
Safi
 
Mungu yupo aisee ! Ila anajua kututesa Sana huko aliko .
Nakubalii , ila utendaji wake binafsi siulewi kiaina.
Kuna wakati nikiwa napangalama na mishe zangu Mambo hayaendi [emoji16] ila anagalau nakua na amani.
Ila nikijifungamanisha na imani Mambo Ni tofauti Sana . (Ndio kabisa Yana stop)

Nauliza, ndugu washuhuda, ninyi mnaombaje mpaka mnashuhudia na imani zenu kuongezeka na kumfurahia katika majira yote, mkikosa sawa mkipata sawaa.

Mbaya zaidi, ata ndugu , Wanakomaa na Mungu lakini wapii
Umasikini juu ya umasikini [emoji16] , wazee wamezeeka wanategemea Watoto na Watoto nao wapi umasikini hata kusaidiana tu shida .
Kunatukio moja, lilitokea , Ni baya Kila mtu alilia kivyakee [emoji16].

Naulizaa Mungu huyu hamuoni anaupendeleoo ?
(Japo imani inanifundisha Hana upendeleo)
Ilaa inakuajee jamani wengine tunakaribia kuzeeka hatuna hizo shuhuda ?
Zinatoke Ni mbaya mbaya mbayaa .

Watetezi wa Mungu naombeni miongozo .



Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Hasaidii sababu hayupo, wanaopata hivyo vitu wanavyodhan ni sababu ya kuomba ni uongo bali ni matokeo ya wao kuvifanyia juhudi+pia misaada ya watu wengine... Mungu hana muda na shida za watu
 
kama zinakubali juu ya uwepo wake,kwa nini zinamtafuta kwa namna tofauti huku kila mmoja akimuona mwenzake kakosea?
Swali lako ni swali la pili baada ya mtu kuwa na majibu ya swali la kwanza.
Swali la kwanza ni Je Mungu yupo au hayupo?
Mtu atakayesema mungu hayupo hamna haja ya kwenda kwenye swali la pili ambalo ni vipi imani zinazo amini uwepo wa Mungu zinatofautiana? Swali hili anatakiwa kujibiwa mtu anaye amini uwepo wa Mungu.
Sasa labda nikuulize vipi wewe una amini Mungu Yupo? Kama ndio nijibu ili nikuelezee kwanini dini tatu zinazoamini juu ya uwepo wa Mungu zinatofautina namna ya kukumuamini Mungu huyo.
 
Samahani wewe ni dini gani?
 
uyu n mm aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…