Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #101
Mamie nimesoma mpaka tumbo limevurugika aiseeeh 😩Mi Kuna mtu aliniletea shida sana kuanzia kazini, familia mpaka biashara.
Mtu huyu alisababisha Mimi na familia yangu tuanze from the scratch.
Nitaelezea huku nachana page kuepusha mambo Mengine.
Maisha yalikuwa mazuri tu katika mji mmoja wa mpakani,,, niseme kiufupi familia ilikuwa na uwezo imejiimalisha kibiashara na kiuchumi katika umri ule mdogo wa kati.
Huyu best na mume wake tuliwapokea.
Sasa katika kazi na biashara.
Shost nilimfundisha baadhi ya vitu visivyohitaji mtaji makubwa kwenye magari lakini unaweza ingiza pesa zaidi ya elfu 30 kwa siku.
Sasa kwa wakati huo haya magari ya transit yalikuwa yakifika hapo ilikuwa ni lazima yaripoti kwenye ofisi yetu na tunawapatia pesa ya kuvukia.
Hili dili tukipata kupitia ofisi yetu ya kuuza spare. Ambapo matajiri walisikia sifa na utendaji wa kazi na walikuja kuomba tuwe partner.
Basi kupitia hapo tuliweza kupata gari sitaitaja kwa ajiri ya patrol.
Kisa chenyewe.
Babaa Ismail mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
Tulifanikisha kufanya dili moja hapo kwenye mgodi mmoja mkubwa na kuweza kubadili kontena halisi na kuweka ziro contena.
Bwanae rafiki yangu yule alijua baadhi ya details alipiga simu na kumueleza yule muhindi aisee!!!!!¡.
Nakumbuka mwarabu alifika alfajiri....... Weweee sijawahi kukamatwa vileeee!!!!!!
Yaaani!¡! Haitaki maelezo wala kesi anahitaji fidia yake ... Na kumbuka hapo Kuna baadhi ya truck zilishawahi kufika huko na mchanga wa kujengea nyumba😂😂😂
Bwana nyumba iliuzwa,,, viwanja viliuzwa,,pikipiki, gari wajomba walituchangia ndio kidogo mwarabu kukaa mezani na kuandika mkataba.
Shost anajidai kunipa pole mamaayo zake msengerama yule.
Kenge akasema anahitaji kumpuzisha kichwa......
Alienda kulima mpunga huko mpanda mi nilibaki kumbuka ofisi spare zoote ziliuzwa!!!!!
Nilianza moja kutumia uzoefu na vijana pia Kuna madereva waliipenda sana ile movie ilivyoenda walikuwa wanaotumia sana vijana wangu wakihitaji huduma ya grisi.
Mbwa yule nilichomfanya.
Nilienda kushtaki kwa bibi yangu.
Aliniagiza nipate utumbo uliolala kwenye butcher yaani uliobaki na maini yaliyooza.
Tulimu ozesha tumbo akiwa hai n
Aisee yule dada sikutaka afe nilitaka apitie nilichopitia .
mimi mtu akinikosea pakubwa siwezi kumuacha hata kidogo.
Kiufupi yule mpaka Leo anaumwa ni miaka kumi sasa!!!! Hospitali zote na hapo jirani kafika na hajapata tiba.. kwa waganga wamemlia pesa mpka kaoka kwa manabii wote kafika unaowasikia lakini Bado.
Operation kafanyiwa za kutosha na bado na akifanyiwa wanatoka wadi
Nilihitaji ateseke na kudhalilika kama alivyotesa familia yangu.
Maisha na mwarabu
Mwarabu alirogwa na kesi iliishia hapo,, baba Ismail na sisi ilibidi tutulie kabisa kuepusha viashiria vyovyote vile. Baada ya miaka miwili inshu yetu tukaimalizia.
NB;
Kuhusu bibi yangu mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi alishafariki miaka sita sasa. Na sina connection yoyote ya mganga.
Maelezo kidogo.
Watakao guna hapa ni aidha waache unafki au Bado hayajawakuta.
Pia Kuna wengine maisha kwao ni soft hawajawahi kukutana na misuko suko.
Africa ili uweze kumiliki ulichonacho ni lazima uwe bandidu,, katili, roho mbaya.
Usivyomiliki hivyo utaishia kupata mafanikio ya kawaida sana.
Hata nisiposikiliza, tafakari watatoa wengine, cha muhimu nimehudhuria.utaweza kusikiliza kweli mafundisho mamilo?
hahahahahahahah hatare binti wa zamani unazeeka sasa kwani ushaingia menopause?Hata nisiposikiliza, tafakari watatoa wengine, cha muhimu nimehudhuria.
Kuna jamaa tukiwa watoto Kwa bibi yangu, alikuwa na tabia ya kunionea Kila kukicha!Mimi Huwa natumia mkono wa kushoto,nikasoma siku Moja kwenye kitabu cha waamuzi3wanavyosifia wenye shoto!Nikaamua nijaribu akinichokoza,wee nimpiga hata hakuamini jinsi nilivyomtayson!Tukawa tunaheshimiana Hadi ukubwani mwanae alimpa jina langu!Naomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.
Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga waliziongelea waliposema “asiyefunzwa kwao, atafundishwa na ulimwengu” - wewe kama mlimwengu, ulishawahi kumfudisha nini binadamu, somo likamuingia?
Pia kama ulishawahi kufunzwa adabu, ukakoma tabia mbaya, tuambie ulifanyiwa nini ukajifunza?
View attachment 3601471
Kuna watu waniletea upuuz** na nilivyo nina kaunyonge flani hivi ambako nahisi kananikost, nahitaji kujifunza kidogo kutoka kwenu.
Asanteni na siku njema!
Oooh sawa nilijua familiaHujawahi mfatilia sana. Aliwahi jieleza zamani kwenye Uzi flani.
Noma sana mkuu.Kuna jamaa alikuta nishapark gari, then yeye akaja na gari lake na kulielegesha vibaya nyuma ya gari yangu kiasi cha kuzuia namna ya kuweza kutoka vizuri, walinzi walimuelekeza namna ya kuweka gari lake vizuri lakini akawafokea kwa lugha kali, "nimeacha namba ya simu, nipigieni"...
Sasa baada ya kumaliza shughuli zangu, narudi niondoke nakuta nimekula block na namna ya kutoka ni hadi uchekeche gari kama mara 50, upande mmoja una mfereji ukikosea tu unaingiza gari huko.
Jamaa tukampigia simu akawa anakata, tuma meseji hajibu kama dakika 15 hivi.l, nilipata hasira na roho ya Trump ikaniingia kwa ghafla.
Baadaye nikasema ngoja kwanza nitoke kwa kuchekecha, kwa msaada wa mlinzi nikaweza kutoka hapo ni kuchekecha kwa dakika kama 3.
Baada ya kufanikiwa kutoka, nikachukua jerk na wheel spanner yangu, nikafungua tairi zote za ile gari, hapo pembeni kulikuwa na mawe nikaitega ile gari nikaiacha juu ya mawe, wheel nuts nikamkamkabidhi mlinzi nikamwambia huyu usimpe hizi hadi akuombe msamaha...
Nikasepa zangu sijui hata nini kiliendelea...
Pole sana. Dunia Ina mengiMamie nimesoma mpaka tumbo limevurugika aiseeeh 😩
Mimi ni mzembe sana ila ilinibidi nitulize akili na kupambana.Mimi jamani nikikutana na misukosuko mikali kama hii nitaweza. Nafikiri naweza kujitundika kitanzi tu, sina roho ngumu hivi!
Mimi huyu sikutaka kumuacha maana aliniharibia vibaya mnooo.Nimeshakutwa na matukio ya hela na kibiashara mara mbili na mara zote nimeachilia bila ugomvi na moja ikanicost urafiki ambao uliniuma kuliko hata hizo hela (hela nilimuachia na urafiki bado ukafa 😪)
Waliosema dawa ya moto ni moto hawakukosea, hii ndiyo real gangsterNILIACHA KUPOKEA SIMU ZAKE BAADA YA YEYE KUNIFUNDISHA KUWA UNAWEZA KUMPIGIA SIMU HATA MARA KUMI NA ASIPOKEE.
Binti mambo yako mazito, mimi udada umeishia hapa, nakugawa bure 😂 😂alinizunguka akamtongoza rafki angu akanisema vibaya, na mimi nikajitahidi mpka nikampata mzee wake na hivi mzee wake ni wale wazee watanashart, smart na ambao hawataki kuzeeka saiv mimi ni mamdogo wake, nikamwambia mzee wake amfukuze nyumbani akaanze maisha ya kujitegemea huko maana yeye ni wa kiume asisubiri kutafuniwa and guess wat mzee alinielewa,,
nahisi kila akiniona au kusikia jina langu analaani maana sio kwa kuchanganyikiwa kule na bado sijaishia hapo nasubiri akae sawa apate mwanamke mwingine nimdinyie kwa dildo😅😅😅😅😅,,,
yoyoyoy am just thinking siku mtoto wa mama mkwe anifanyie huo upuuzi nilipize niki kisasi
Kumbe mliishia kuwa wapenzi kabisa, una hatari kaka!Nilikula kula baadae nae akagraduate, harakAti zikatutenganisha .... tukawa mikoa tofAuti... penzi likAfa kifo cha mende
kwanini unigawe dada ake😅😅 ulimwengu ndo unatulazimisha kuwa na roho za fisiBinti mambo yako mazito, mimi udada umeishia hapa, nakugawa bure 😂 😂
View attachment 3601731
Nilimroga liveNaomba shuhuda za jambo au mambo ambayo ushawahi kuwafanyia watu waliokukosea yakawafundisha kukuheshimu na kutorudia tena tabia mbovu juu yako.
Naomba pia zile shuhuda nzito ambazo wahenga waliziongelea waliposema “asiyefunzwa kwao, atafundishwa na ulimwengu” - wewe kama mlimwengu, ulishawahi kumfudisha nini binadamu, somo likamuingia?
Pia kama ulishawahi kufunzwa adabu, ukakoma tabia mbaya, tuambie ulifanyiwa nini ukajifunza?
View attachment 3601471
Kuna watu waniletea upuuz** na nilivyo nina kaunyonge flani hivi ambako nahisi kananikost, nahitaji kujifunza kidogo kutoka kwenu.
Asanteni na siku njema!
Akikupotezea na wewe mpotezee, sawa 📝NILIACHA KUPOKEA SIMU ZAKE BAADA YA YEYE KUNIFUNDISHA KUWA UNAWEZA KUMPIGIA SIMU HATA MARA KUMI NA ASIPOKEE.
Nilimroga liveView attachment 3601747
Hatari sana!Ndio ishapita na inawapa funzo, matukio ya muda mrefu.
Mbona wengine walikuwa wanawapiga visu kabisa!!
Nakumbukua wavulana wa Tambaza walikuwa wanapiga visu.
SI ajabu huyo binti hata alikuwa hakukumbuki wala nini, watu wenyewe mlikuwa mnasoma combi tofauti.Kipindi nasoma O level wale wanafunzi waliokua wanasoma darasa la sayansi walikua wanatudharau sana sisi tunaosoma darasa la arts...
Kuna dada mmoja alikua ana akili sana pale sayansi, ni mmoja ya watu waliokua wanaowadharau wanafunzi wale wanaosoma darasa la arts... Yule dada yaani naweza nikapishana nae ananipita kwa dharau, alikua anajiona special sana...
Tulivyomaliza form four nikapata division three, yeye akapata one... Nikachaguliwa kwenda advance kwa sababu combination yangu ili balance, hata hivyo kipindi kile kupata Division three ilikua ni mpaka upambane sana. Yeye pia alichaguliwa shule moja maarufu iliyokuwepo mkoani kwetu...
Kumbuka kipindi hicho miaka ya nyuma ilikua big deal sana kufulu kwenda kidato cha tano. Kwa kipindi hicho unakuta mtaa unaoishi watu ambao wana elimu ya advance level ni mmoja au wawili...
Nimefika zangu advance pale from no where hiyo HGL ninayosoma nakuta tu masomo nayaelewa vizuri tofauti na o level,.. Test na mitihani nafaulu vizuri tu... Nimekuja kufanya Necta form six nikagonga Division one nzuri tu.
Chuo nimefika pale Udsm nilikutana nae yule dada mwenye dharau tunapiga course moja.. Yule dada sikuwahi kumsemesha kwa chochote, tunapishana iwe cafeteria au lecture rooms bila kusemeshana... Hata niwe nae group moja la presentation na-interact nae kama simjui vile, mara nyingine anaweza akaniangalia na mimi nikamwangalia kama hatujawahi kujuana.... Mpaka tunamaliza pale Udsm sijawahi kuongea nae jambo lolote, ni ukauzu mwanzo mwisho a.k.a mikausho mikali.
Kombi gani tena mkuu, huyo binti nimesoma nae form one mpaka form four na tulikua tunaishi mtaa mmoja japo sio majirani... Ndugu zake nawafahamu nao wananifahamu japo hatuna ule ukaribu.SI ajabu huyo binti hata alikuwa hakukumbuki wala nini, watu wenyewe mlikuwa mnasoma combi tofauti.
Hii ya kuwekana moyoni kwa miaka ni mbaya, wewe umeshasahau ulilofanya kumbe kuna mtu anakuandalia karma yako!Ujue waswahili ni watu wajinga sana, sijui umaskini, akili mbaya au roho mbaya sielewi, kuna ile mtu kwasababu mmekuwa nae miaka anahisi anakufahamu in and out au anahisi wa miaka 10 nyuma bado upo vile vile hajui shilingi ina pande mbili, alafu ile mtu kujuana na watu flani anaona yupo on top ya kila mtu. Na kuna kipindi namuonea huruma, ila acha akacheze mjini, kuna ile unaambiwa ukionekana umeisha ndio anatembea nayo kwenye akili 😁😁..
haya maisha watu tuishi wa kuheshimiana, kama mtu au maisha ya mtu hayakuhusu pita hivi na yule apite kule, kuna kitu nilijifunza kwa Mwanasiasa mmoja hivi yule mtu anaweza akakuweka moyoni hata miaka 5 na anakuwa anakuchekea tu kumbe anakulia timing akunyongee mbali, ila ni mtu wa amani sana na mwenye upendo ila usivuke mstari mwekundu wake