ππ Ndio nzuri hiyo. Nilikuwa fair sana katika makuzi ila kadri tunavyo zeeka tunaona namna gani roho mbaya inasaidiaHii ya kuwekana moyoni kwa miaka ni mbaya, wewe umeshasahau ulilofanya kumbe kuna mtu anakuandalia karma yako!
Nachowapongeza ni kuwa mlifika hadi chuo kikuu na kuhitimu pamoja. Sehemu nyie watu wa UDSM ni kawaida yenu kuniniana na kujimwambafai.Kipindi nasoma O level wale wanafunzi waliokua wanasoma darasa la sayansi walikua wanatudharau sana sisi tunaosoma darasa la arts...
Kuna dada mmoja alikua ana akili sana pale sayansi, ni mmoja ya watu waliokua wanaowadharau wanafunzi wale wanaosoma darasa la arts... Yule dada yaani naweza nikapishana nae ananipita kwa dharau, alikua anajiona special sana...
Tulivyomaliza form four nikapata division three, yeye akapata one... Nikachaguliwa kwenda advance kwa sababu combination yangu ili balance, hata hivyo kipindi kile kupata Division three ilikua ni mpaka upambane sana. Yeye pia alichaguliwa shule moja maarufu iliyokuwepo mkoani kwetu...
Kumbuka kipindi hicho miaka ya nyuma ilikua big deal sana kufulu kwenda kidato cha tano. Kwa kipindi hicho unakuta mtaa unaoishi watu ambao wana elimu ya advance level ni mmoja au wawili...
Nimefika zangu advance pale from no where hiyo HGL ninayosoma nakuta tu masomo nayaelewa vizuri tofauti na o level,.. Test na mitihani nafaulu vizuri tu... Nimekuja kufanya Necta form six nikagonga Division one nzuri tu.
Chuo nimefika pale Udsm nilikutana nae yule dada mwenye dharau tunapiga course moja.. Yule dada sikuwahi kumsemesha kwa chochote, tunapishana iwe cafeteria au lecture rooms bila kusemeshana... Hata niwe nae group moja la presentation na-interact nae kama simjui vile, mara nyingine anaweza akaniangalia na mimi nikamwangalia kama hatujawahi kujuana.... Mpaka tunamaliza pale Udsm sijawahi kuongea nae jambo lolote, ni ukauzu mwanzo mwisho a.k.a mikausho mikali.
Wameishi miaka 20, maana walifunga ndoa mwaka 2006. Hawajaanza jana.Kama bi mkubwa wenu kazeeka hamuhitaji huyo mume. Kwa nini alimkaribisha huyo Mzee hapo kwenu wanalala wote?
Sikukuonana naye hata siku moja tangu aondoke.Mmmh ingetokea umeonana naye hata siku moja kabla hajafa, ungeambiwa umemuua.
Ila huyo mzee msuluhishi yuko sahihi, inabidi kuchunga sana maneno tunayoyasema.
Sio kweli, sio kwamba siyajui hayo. Mimi nimetoka magomeni kwa miguu hadi Coco Beach, Magomeni hadi Ubungo kucheza mpira, Magomeni hadi Buguruni kumfata demu wangu tena kwa miguu.Tulikuwa tunakwenda kusalimia wasichana wenzetu wanasoma Mtendeni Primary, pale mnazi mmoja.
Tatizo vijana wa leo mmekariri maisha.
Zamani Mwanafunzi Darasa la kwanza, unatoka Mbagala, unaenda mnazi mmoja, mnaenda kinondoni kufuata mabuyu-kule kinondoni kwa Pinda, mnarudi karume kununua chupi za mtumba alafu baadae jioni mnarudi nyumbani.
Mtu mmesomanae Secondary mpaka chuo hasikukumbuke?SI ajabu huyo binti hata alikuwa hakukumbuki wala nini, watu wenyewe mlikuwa mnasoma combi tofauti.
Yupo mmoja anapenda kupewa pesa ila yeye pesa zake ni ngumu sana kutoa. Namlia rada sehemu.Akikupotezea na wewe mpotezee, sawa π
View attachment 3601756
Utoto na ushamba huwa unawasumbua, kwani Udsm kuna kioi cha maana? Wangesoma Udom si ingekuwa balaa zaidi.Nachowapongeza ni kuwa mlifika hadi chuo kikuu na kuhitimu pamoja. Sehemu nyie watu wa UDSM ni kawaida yenu kuniniana na kujimwambafai.
Ubaya ubwela au siyo π πYupo mmoja anapenda kupewa pesa ila yeye pesa zake ni ngumu sana kutoa. Namlia rada sehemu.
We jamaa bangi zinakusumbua unafanananisha Udsm na Udom kweli, kwanza mi wakati nasoma hiyo takataka unayoiita Udom haikuwepo.Utoto na ushamba huwa unawasumbua, kwani Udsm kuna kioi cha maana? Wangesoma Udom si ingekuwa balaa zaidi.
Upo kimya mkuu, unajikuta we ni Yesu au sio!nipo naishi na jirani yangu yuko yeye na familia yake na mtoto mmoja wa kiume kma miaka 23
Uyo jiran yangu amenizid umri huyu jiran bhana alikuwa ananichukia bila sababu
Kila siku maneno uzushi mtaan mala kunizibia njia nikiwa naingia kwangu mala kunipeleka offc za kata anasema namwaga uchafu ovyo
Mpaka watu wakajua kuwa roho yake mbaya anipendi kila kes yake nashinda mimi
SASA KUMKOMESHA JIRAN NIKAMTAFUTIA KAZI HUYO KIJANA WAKE WA KIUME KAZI YA KUTEMBEA NA MAGARI MAKUBWA DOGO KAPATA KAZI NA SAFARI YA KWAMZA CONGO AKAMWAMBIA BABA AKE MI NDIO NIMEMTAFUTIA KAZI
DAH JIRAN KAJA HOME ANALIA YEYE NA MKE WAKE NA KUANZA KUKILI WALIONIFANYIA MI NIPO KIMYA TU
Upo kimya mkuu, unajikuta we ni Yesu au sio! π€£πnipo naishi na jirani yangu yuko yeye na familia yake na mtoto mmoja wa kiume kma miaka 23
Uyo jiran yangu amenizid umri huyu jiran bhana alikuwa ananichukia bila sababu
Kila siku maneno uzushi mtaan mala kunizibia njia nikiwa naingia kwangu mala kunipeleka offc za kata anasema namwaga uchafu ovyo
Mpaka watu wakajua kuwa roho yake mbaya anipendi kila kes yake nashinda mimi
SASA KUMKOMESHA JIRAN NIKAMTAFUTIA KAZI HUYO KIJANA WAKE WA KIUME KAZI YA KUTEMBEA NA MAGARI MAKUBWA DOGO KAPATA KAZI NA SAFARI YA KWAMZA CONGO AKAMWAMBIA BABA AKE MI NDIO NIMEMTAFUTIA KAZI
DAH JIRAN KAJA HOME ANALIA YEYE NA MKE WAKE NA KUANZA KUKILI WALIONIFANYIA MI NIPO KIMYA TU
Wewe ni mpuuzi tu. Kama haya ndiyo mawazo na sifa unazozunguka nazo mtaani wewe ni limbuken pro max xyz.We jamaa bangi zinakusumbua unafanananisha Udsm na Udom kweli, kwanza mi wakati nasoma hiyo takataka unayoiita Udom haikuwepo.
We Kume..r nn... mbona shobo sana we malay..erWewe ni mpuuzi tu. Kama haya ndiyo mawazo na sifa unazozunguka nazo mtaani wewe ni limbuken pro max xyz.
Huu sio ukauzu sasa ni stori tu kama stori nyinginenipo naishi na jirani yangu yuko yeye na familia yake na mtoto mmoja wa kiume kma miaka 23
Uyo jiran yangu amenizid umri huyu jiran bhana alikuwa ananichukia bila sababu
Kila siku maneno uzushi mtaan mala kunizibia njia nikiwa naingia kwangu mala kunipeleka offc za kata anasema namwaga uchafu ovyo
Mpaka watu wakajua kuwa roho yake mbaya anipendi kila kes yake nashinda mimi
SASA KUMKOMESHA JIRAN NIKAMTAFUTIA KAZI HUYO KIJANA WAKE WA KIUME KAZI YA KUTEMBEA NA MAGARI MAKUBWA DOGO KAPATA KAZI NA SAFARI YA KWAMZA CONGO AKAMWAMBIA BABA AKE MI NDIO NIMEMTAFUTIA KAZI
DAH JIRAN KAJA HOME ANALIA YEYE NA MKE WAKE NA KUANZA KUKILI WALIONIFANYIA MI NIPO KIMYA TU
Safi sana...Waliingiza kichwa changu kwenye mzinga wa nyukiβ¦.nilivimba balaa π₯Ή