Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.

Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi kwani ni mfanyabiashara wa madini.

Tukio la leo linahitaji tume huru ya uchunguzi.Jeshi la polisi linalijua tukio hili nje ndani na halitaweza kujichunguza.

Inasemekana kuwa taarifa zilizotolewa na family member ni kuwa tukio limesababishwa na kisasi. Dhuluma ndiyo sababu ya kisasi.

Bwana Hamza amechukua sheria mikononi kwa kuwa misingi ya haki katika nchi kwa sasa imefikia kileleni katika kuoza.Polisi wako busy katika kudhulumu watu,kupora mali za uma na kuitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.

Nategemea kuona matukio mengi ya watu kuchukua Sheria mikononi yakiongezeka kwa kuwa mamlaka za haki zimegeuka kuwa mamlaka za kukandamiza haki.

R.I.P HAMZA. Dhahabu zako wamechukua na Uhai wako Pia.

An8VB.jpg
AQNUPo.jpg
kGayQ.jpg
QAI3pMG.jpg
AsSu6M.jpg

AE1JEm.jpg
 
Tokea mwanzo wa taarifa ya tukio hili akili yangu ilikataa kabisa kulihusisha na ugaidi.

Sijui itakavyo kua katika uchunguzi wa polisi, lakini kama ilivyo sema mleta mada msamiati wa haki hapa nchni kwetu umeoza, kuanzia huko serikalini na vyombo vyao vya dola mpaka kwenye dini na hatimae kwa jamii nzima.
 
Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.

Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?

Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kidogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?

Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
 
Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kuna kidogo kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?

Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kisogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?
Yaani mtu mmoja afuate polisi wengi akapambane nao?Yaani wewe ni mmoja halafu ukatafute polisi wengi wa kupambana nao?Wewe unaona hii inamake sense?Hapo si unakuwa unatafuta kifo cha haraka sana kabla hata ya kusababisha madhara uliyokusudia?
 
Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.

Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kuna kidogo kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?

Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kisogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?

Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.

Acheni kudhulumu watu na kuwataka wafanye mnavyotaka ninyi hata kuwachagulia uelekeo wa kuchukua.
 
Any way Allah amsamehe ndugu yetu....katka mafundisho ya dini ya kiislamu tunafundushwa ya kwamba...

''...yeyote muislamu atakae kufa akipigania Mali yake/haki basi amekufa shahidi..."

Na katika kulipiza kisasi ni kitu ambacho kinaruhusiwa Ila kusamehe ni bora zaidi...

Ndugu Hamza alikuwa anajaribu kutetea Mali/haki yake na bila shaka alikuwa tayari kufa uku akihakikusha kuna watu anaondoka nao hasa hao polisi...

Wengi huwaita waislamu ni magaidi Ila ukweli ni kwamba waislamu hawapendi dhulma wapo tayari wafe wakitetea haki/Mali yao.....na ni watu wa visasi ni kama wa wakurya (vita ni vita mura) omba sana usiingie Kwenye anga zao.

Polisi uku mtaani wapigaji wa Dili vibaya...
 
Yaani mtu mmoja afuate polisi wengi akapambane nao?Yaani wewe ni mmoja halafu ukatafute polisi wengi wa kupambana nao?Wewe unaona hii inamake sense?Hapo si unakuwa unatafuta kifo cha haraka sana kabla hata ya kusababisha madhara yoyote yale?
Jama kanishangaza sanaaa, yaani alitaka mwamba akavamie kituo kizima cha police. Kwani aligombana na police woteee?,yeye alimalizana na wabaya wakee
 
Any way Allah amsamehe ndugu yetu....katka mafundisho ya dini ya kiislamu tunafundushwa ya kwamba...

''...yeyote muislamu atakae kufa akipigania Mali yake/haki basi amekufa shahidi..."

Na katika kulipiza kisasi ni kitu ambacho kinaruhusiwa Ila kusamehe ni bora zaidi...

Ndugu Hamza alikuwa anajaribu kutetea Mali/haki yake na bila shaka alikuwa tayari kufa uku akihakikusha kuna watu anaondoka nao hasa hao polisi...

Wengi huwaita waislamu ni magaidi Ila ukweli ni kwamba waislamu hawapendi dhulma wapo tayari wafe wakitetea haki/Mali yao.....na ni watu wa visasi ni kama wa wakurya (vita ni vita mura) omba sana usiingie Kwenye anga zao.

Polisi uku mtaani wapigaji wa Dili vibaya...
Nchi imeoza hii kama unaeza unaeza mpeleka kiongozi mkuu waupinzani tz kwa makosa ya kufoji je sisi wananchi wa kawaida itakuwaje watu huchoka hizi dhulma mungu atusaidie walioko juu waone haya mambo mapema na kwa upana wake lasiivyo watakuwa wamebomoa nchii hii wenyewe
 
Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.

Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kuna kidogo kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?

Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?

Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Hutu jamaa kafa,hakuna aliyejua nia yake,labda ubalozini alikuwa anaenda kujisalimisha baada ya kuuua hao makarao.
 
Back
Top Bottom