Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.
Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi kwani ni mfanyabiashara wa madini.Tukio la leo linahitaji tume huru ya uchunguzi.Jeshi la polisi linalijua tukio hili nje ndani na halitaweza kujichunguza.Inasemekana kuwa taarifa zilizotolewa na family member ni kuwa tukio limesababishwa na kisasi. Dhuluma ndiyo sababu ya kisasi.
Bwana Hamza amechukua sheria mikononi kwa kuwa misingi ya haki katika nchi kwa sasa imefikia kileleni katika kuoza.Polisi wako busy katika kudhulumu watu,kupora mali za uma na kuitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.
Nategemea kuona matukio mengi ya watu kuchukua Sheria mikononi yakiongezeka kwa kuwa mamlaka za haki zimegeuka kuwa mamlaka za kukandamiza haki.
R.I.P HAMZA. Dhahabu zako wamechukua na Uhai wako Pia.
View attachment 1908628View attachment 1908629View attachment 1908630View attachment 1908631View attachment 1908632View attachment 1908633
View attachment 1908637
View attachment 1908644
Jeshi la polisi limeoza. CCM ni genge la majambazi. Taifa lipo rehani.