ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 642
- 967
Kwenda kituoni anaendaje na pistol mkuu? Alianzisha hapo ili apate silaha za kwenda huko unaposema!!!! Wewe ndo hakimu alafu unashidwa kuconect ilo tukio mkuu? Ilikuwa lazima aanzie hapo uko unaposema ndo alikuwa anakwenda wakamuwahi!!! All in all kachukua sheria mkononi kwaiyo amepata anacho staili.... Lakini kama na wao police walizulumu ndo wajifunze sio kila mtu anazulumiwaStori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.
Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?
Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?
Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Sent using Jamii Forums mobile app