Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.

Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?

Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?

Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Hii post imeletwa kwenu kwa uzamini mkubwa wa chama la wavuta bange.
 
Kwa habari zillizopo, jibu ni NDIO

KISASI dhidi ya dhuluma.
Kwa hiyo ubalozi wa ufaransa alikoenda kushamblia walinzi wa huo ubalozi ndio wafaransa waliomdhulumu? kwa nini ali tarhet pale pale opposite na uliposhambuliwa ubalozi wa marekani?

ubalozi wa ufaransa walimkosea nini hadi aue walinzi wa ubalozi wao kwenye ofisi yao?

Eneo la ubalozi ni nchi nyingine alichofanya ni kushambulia nchi ya ufaransa
 
Kuna mlinzi gani wa ubalozi alishambuliwa na Hamza. Ficha ujinga wako! Idiot!
 
Nimeangalia,nimefuatilia sana tukio.Nimesoma mawazo ya watu nikagundua watu wengi wanaumia na wanalaumu Hamza kuuawa.Hamza had a CONCERN alitakiwa akamatwe akiwa hai.DHULUMA,UONEVU ni mkubwa sana unaofanywa na wanausalama Tanzania.Wana warned na kuwadhulumu watu sana.
Nimeumia Hamza kupigwa risasi na kufa.Pole kwa familia za askari lakini vipi kuhusu familia ya Hamza?

Note

Hamza amedhulumiwa mali na nafsi yake.Mungu amsaidie.
Vipi mlikuwa na mission moja au?
 
Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.

Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?

Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?

Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Wewe unasumbuliwa na msongo wa chuki za kidini.
Huyu jamaa hakuwa akipigania dini hapa, yeye anasababu zake binafsi ndizo zilizompelekea kuvunja sheria za nchi na kutenda jinai.
Yanayosemwa kuwa ni kulipiza kisasi kwa polisi,hii ni kwa mtazamo wake binafsi, hakuna anayejua kuwa polisi aliowaua ndio waliohusika kumdhulumu au kumtenda vyovyote vile.
Hakuna Dini inayoruhusu kuchukua sheria mkonni wakati ola Ipo , labda Ukafiri au Ulokole.
 
Mlinzi wa G4S au yeye siyo binadamu nyumbu mkubwa!
Yule mlinzi sio wa ubalozi..Kuna gari la GSA hao mgambo walikuja eneo la tukio wakitaka kusaidia police ndo yakawapata yaliyowapata. Lakin jamaa hakuwa na haja ya kuingia ubalozi hata ukiangalia hizo video. Usijekuta hata hizo video hujaziona punda wewe!
 
Kondakta wa haisi ile anasema maneno alikua anasema "watu wanamchezea allah" ...

Watu wanasema streess/depression, akili za kawaida mtu ana depression na kulenga askari tu ?!

Historia za magaidi kwenye taarifa za habari mbalimbali hua tunaona hua wana target raia walio mbele yao, sasa blaza gari la abiria liko mbele yake kaliacha, ni gaidi gani huyo
Yule sio gaidi. Kuna ishu kati yake na askari
 
Mimi nimeumia sana Hamza kuua hawa Polisi-CCM watatu tu.Alitakiwa kuua makumi.Nimeumia sana😔😔😔
8860003675.jpg
XIAEW_18.jpg
 
Nimeangalia,nimefuatilia sana tukio.Nimesoma mawazo ya watu nikagundua watu wengi wanaumia na wanalaumu Hamza kuuawa.Hamza had a CONCERN alitakiwa akamatwe akiwa hai.DHULUMA,UONEVU ni mkubwa sana unaofanywa na wanausalama Tanzania.Wana warned na kuwadhulumu watu sana.
Nimeumia Hamza kupigwa risasi na kufa.Pole kwa familia za askari lakini vipi kuhusu familia ya Hamza?

Note

Hamza amedhulumiwa mali na nafsi yake.Mungu amsaidie.

Walaaniwe wote waliohusika na kudhulumu Hamza maisha na mali zake.

Kwa hakika dhulumati hao hawafai kuwa polisi hata kwenye himaya ya shweitani.
 
Yule mlinzi sio wa ubalozi..Kuna gari la GSA hao mgambo walikuja eneo la tukio wakitaka kusaidia police ndo yakawapata yaliyowapata. Lakin jamaa hakuwa na haja ya kuingia ubalozi hata ukiangalia hizo video. Usijekuta hata hizo video hujaziona punda wewe!
Nilikuwa kwenye tukio mkuu pale Stanbic Bank mkuu hivyo tukio nimeliona live siyo wewe wa kuambiwa na video clip ambazo hazionyeshi sehemu zote!
 
Walaaniwe wote waliohusika na kudhulumu Hamza maisha na mali zake.

Kwa hakika dhulumati hao hawafai kuwa polisi hata kwenye himaya ya shweitani.
Wewe ni Gaidi nawaomba Polisi wakutafute wakupige ya kichwa na ya matako umfuate Gaidi mwenzako Jehanamu.
 
Since 2015 , October there is series of injustices case.

So yesterday Mr Hamza , he stand on behalf of the Tortured peoples.

Finally, I would like to send my Condolences to all families police and Hamza Family.

Nothing last.
Justices is peace.🙏🙏🙏.

The Haya Land voice of the voiceless.
 
Back
Top Bottom