Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Hii post imeletwa kwenu kwa uzamini mkubwa wa chama la wavuta bange.
 
Kwa habari zillizopo, jibu ni NDIO

KISASI dhidi ya dhuluma.
Kwa hiyo ubalozi wa ufaransa alikoenda kushamblia walinzi wa huo ubalozi ndio wafaransa waliomdhulumu? kwa nini ali tarhet pale pale opposite na uliposhambuliwa ubalozi wa marekani?

ubalozi wa ufaransa walimkosea nini hadi aue walinzi wa ubalozi wao kwenye ofisi yao?

Eneo la ubalozi ni nchi nyingine alichofanya ni kushambulia nchi ya ufaransa
 
Kuna mlinzi gani wa ubalozi alishambuliwa na Hamza. Ficha ujinga wako! Idiot!
 
Vipi mlikuwa na mission moja au?
 
Wewe unasumbuliwa na msongo wa chuki za kidini.
Huyu jamaa hakuwa akipigania dini hapa, yeye anasababu zake binafsi ndizo zilizompelekea kuvunja sheria za nchi na kutenda jinai.
Yanayosemwa kuwa ni kulipiza kisasi kwa polisi,hii ni kwa mtazamo wake binafsi, hakuna anayejua kuwa polisi aliowaua ndio waliohusika kumdhulumu au kumtenda vyovyote vile.
Hakuna Dini inayoruhusu kuchukua sheria mkonni wakati ola Ipo , labda Ukafiri au Ulokole.
 
Mlinzi wa G4S au yeye siyo binadamu nyumbu mkubwa!
Yule mlinzi sio wa ubalozi..Kuna gari la GSA hao mgambo walikuja eneo la tukio wakitaka kusaidia police ndo yakawapata yaliyowapata. Lakin jamaa hakuwa na haja ya kuingia ubalozi hata ukiangalia hizo video. Usijekuta hata hizo video hujaziona punda wewe!
 
Yule sio gaidi. Kuna ishu kati yake na askari
 
Mimi nimeumia sana Hamza kuua hawa Polisi-CCM watatu tu.Alitakiwa kuua makumi.Nimeumia sanaπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 

Walaaniwe wote waliohusika na kudhulumu Hamza maisha na mali zake.

Kwa hakika dhulumati hao hawafai kuwa polisi hata kwenye himaya ya shweitani.
 
Nilikuwa kwenye tukio mkuu pale Stanbic Bank mkuu hivyo tukio nimeliona live siyo wewe wa kuambiwa na video clip ambazo hazionyeshi sehemu zote!
 
Walaaniwe wote waliohusika na kudhulumu Hamza maisha na mali zake.

Kwa hakika dhulumati hao hawafai kuwa polisi hata kwenye himaya ya shweitani.
Wewe ni Gaidi nawaomba Polisi wakutafute wakupige ya kichwa na ya matako umfuate Gaidi mwenzako Jehanamu.
 
Since 2015 , October there is series of injustices case.

So yesterday Mr Hamza , he stand on behalf of the Tortured peoples.

Finally, I would like to send my Condolences to all families police and Hamza Family.

Nothing last.
Justices is peace.πŸ™πŸ™πŸ™.

The Haya Land voice of the voiceless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…