Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Angekuwa gaidi angeuwa watu wote barabarani pale. Mitaani inaelezwa kuwa amedhulmiwa madini yake
Mgodi wake kapewa mama wa kambo aka minido ili atengeneze vikuku na shanga za dhahabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnaupenda sana ugaidi nyinyi! Au kwa sababu mnawaona Watanzania wote ni ng'ombe siyo!! Sasa kwa taarifa yenu kuna wachache kama huyo Hamza, yule Tajiri wa Mabasi ya Zakaria kule Tarime, nk ni vichwa ngumu!

Unamzingua, na yeye anakuzingua! Halafu mwisho wa siku mnakuja kulia lia hapa eti ni GAIDI!!
 
Gaidi hilo limejificha kwenye mgodi
Kinachofanyika sasa ni kutwist ajenda ili jamii iwe na huruma na familia ya gaidi aliyeuwawa
Gaidi wa ccm kaua mapolisi vs mahaini wa ccm ya kum [emoji3457][emoji3457][emoji381][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]RIP MAGUFULI
 
Sura ya kisomali, kumbe nao moyo wake ulikuwa wa kisomali. Dam ya kisomali bunduki na risasi ni kama manati na jiwe. Somalia risasi wanachezea mdako na bao.
 
Kamuulize Sirro.
 
Moderator juzi niliandika uzi wangu wa TOZO ZIMEPUNGUZWA ili kuwapa wanaccm, wapenzi wa ccm na mashabiki wa ccm fundisho nashangaa mkaufuta.

Haya sasa na kwa hili wafia chama cha ccm watoe fundisho.

Na tafadhali mrudishe uzi wangu wafia ccm wale fundisho wajirekebishe, sikunyingine wasifanye makosa kwenye box la kura.
 
Hata wewe unaweza kudhulumu
 
Halafu unakta rais katoa pole kwa polisi kama vile polisi walionenewa kumbe wao ndiyo master mind wa kila kitu na ilikuwa lazima wamuue ili kuficha ushahidi. Hahaha, enzi za Zombe hivi who was the president?
 
Kuna taratibu zake za kuja kuuza dhahabu kwenye soko la Dar.... mfanya biashara ya dhahabu Tanzania sio yeye peke yake wako mamia kwa maelfu na kila siku wanauza na kununua dhahabu.... polisi waliingiaje kwenye biashara yake.....why polisi na yeye.?

Nafikiri bado hujafuguka kimawazo biahara ya dhahabu inafanyika kimagendo pia huko ndio watu huiziana huku umeshika silaha kunakugeukiana mara moja
 
Kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza Dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...



Hakuna gaidi anayekufa kishujaa

Kwani kwa akili yako kufa kishujaa ni kifo cha vipi?
 
Unagongwa we! Dini ipi inayosema huo ujinga unaozungumzia
 
Kwani hayo madini yanapouzwa kwenye hayo masoko wanunuzi hawaruhusiwi kuondoka nayo bali yanaishia hapo hapo? Ndege za kimataifa zinatua na kuruka kuanzia kwenye masoko ya madini?
 
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bob Marley unaitwa Johnny was! Yes Johnny was a good man so is Hamza ! Wore wawili wameuwawa na bullets by the system! Bob aliimba, Woman hold her hands and cry as her son has been shot down in the street and die, just because of the system! She cry!! I know Johnny was a good man!!! Just like Hamza was!! Nna wajua polisi vizuri Sana, mnakumbuka kesi ya Zombe? Ndo haya Sasa! Hamza was a good Man!!
 
Polisi ni mtu anaepaswa kuwa msafi asiye na doa. Ni ngumu sana polisi mwenye mawaa kutenda haki kwa raia.
Kila kazi inahitaji watu safi. Hakuna kazi inayoyakubali majambazi. Ukweli ni kuwa katika kila kazi kuna watu wasafi na wenye matatizo na si polisi tu!
 
Sura ya kisomali, kumbe nao moyo wake ulikuwa wa kisomali. Dam ya kisomali bunduki na risasi ni kama manati na jiwe. Somalia risasi wanachezea mdako na bao.
Sura ya kichama, kumbe nao moyo wao ni wa kichama. Damu ya kichama kutokutumikia wananchi,kupora mali za wananchi na kunyanyasa wananchi ni kama manati na jiwe. Hawa polisi-CCM wanalinda maslahi ya chama kama mdako na bao,hawana habari kabisa na maslahi ya wananchi.Ni vyema na haki waendelee kuuawa.

Are we?
Your browser is not able to display this video.
 
Biblia inaandika :

"HAKI HIINUA TAIFA BALI DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE.

EZEKIEL 3

16 Hata ikawa, mwisho wa siku saba, neno la Bwana likanijia, kusema,

17 Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.

18 Nimwambiapo mtu mbaya, Hakika utakufa; wewe usimpe maonyo, wala husemi na huyo mtu mbaya ili kumwonya, kusudi aache njia yake mbaya na kujiokoa roho yake; mtu yule mbaya atakufa katika uovu wake; lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

19 Lakini ukimwonya mtu mbaya, wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia yake mbaya, atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.

20 Tena mtu mwenye haki aiachapo haki yake, na kutenda uovu, nami nikiweka kikwazo mbele yake, atakufa; kwa sababu hukumwonya, atakufa katika uovu wake, wala matendo yake ya haki aliyoyatenda hayatakumbukwa; lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

21 Bali ukimwonya mwenye haki, kwamba yule mwenye haki asitende dhambi, tena ikiwa yeye hatendi dhambi, hakika ataishi, kwa sababu alikubali kuonywa; nawe umejiokoa roho yako."

Vyombo vyetu vya kutoa haki vimeonywa mara nyingi sana hapa nchini ili kuacha rushwa na uonezi.

Sasa dalili zisizo nzuri katika suala la kijana Hamza, kada wa CCM, linaturudisha katika Neno la Mungu juu ya Taifa kwa ujumla.

Polisi wanatakiwa kama Jeshi au askari mmoja mmoja KUTENDA HAKI.

Zulumat ni dalili ya indiscipline katika taasisi hiyo ya usalama na matokeo tunaanza kuysona- mtu kujichukulia sheria mkononi.

Tutende haki kwa heshima ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…