Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeenda dodomiaa kwa bungeeeKwa nini hakuingia mtaani kuwasaka ili badala ya wawili wawe 200
garbageAcha kumuhusisha huyo bwana wako (mungu wako) na unafiki wako. Kama ulisikia vizur maneno ya mshambuliaji, basi utapata jibu ni nani aliekuwa nyuma ya lile shambulizi. Inasikitisha kuona kijana kakubali kuuza utu wake, na uhai wake sababu ya laki 6 tu zilizozungumzwa mahakamani. RIP Chacha Wangwe.
Mitaa ya upanga imeanza kusikika kwamba anayeitwa Gaidi, ni muathirika wa dhuluma za polisi wetu. Polisi wajichunguze pia, badala ya kutisha watu mitaani na kukuza neno 'Ughaidi.'
Ndugu watateswa ili wasiseme hili, lakini linasikika mitaani kwetu!
Hakuingia mitaani kwa sababu hakuwa na bunduki. Mahali alipoona ni rahisi kuipata ni hapo Salenda.Kwa nini hakuingia mtaani kuwasaka ili badala ya wawili wawe 200
Its all coming out to the naked air.,..!Mitaa ya upanga imeanza kusikika kwamba anayeitwa Gaidi, ni muathirika wa dhuluma za polisi wetu. Polisi wajichunguze pia, badala ya kutisha watu mitaani na kukuza neno 'Ughaidi.'
Ndugu watateswa ili wasiseme hili, lakini linasikika mitaani kwetu!
kuna mtu jirani yangu alibambikiwa kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria walimpandikizia risasi alafu akalipa 5million ili yaishe[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]me binafsi nswe mnafiki hata cjaumia na hilo swala la kuuwawa polisi .
polis! ya sasa imezidi
kuna mtu jirani yangu alibambikiwa kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria walimpandikizia risasi alafu akalipa 5million ili yaishe
Labda Gaidi kuna sheria inayomkataza kufanya biashara ya madini ila kiuhalisia hakuna kitu ambacho Gaidi hawezi kufanya ili kizugishe watu kuwa si mtu hatari kwa amani.Gaidi hilo limejificha kwenye mgodi
Kinachofanyika sasa ni kutwist ajenda ili jamii iwe na huruma na familia ya gaidi aliyeuwawa
Ndio maana sio gaidi. Hakuingia mtaani kwa vile yeye ni raia mwema ila polisi walivyombadilikia ndio akatumia bastola yake kuwashambulia na kuchukua silaha zao. Angekuwa na ugaidi kichwani angeua askari wengi vituoni au kwenye gariKwa nini hakuingia mtaani kuwasaka ili badala ya wawili wawe 200
Ukweli mtupu mkuu.yule sio mjinga akung'ute polisi tu wakati raia walikuwa kibao
Nyama ziko chini mkuu.... Wacha tuendelee vuta subiraa...Mmh!
Hili suala awali nilikuwa naliona kwa sura nyingine ila kwa sasa nahisi kuna kitu ambacho si cha kawaida baina ya Hamza na Polisi.
Ni mapema mno kuanza kuwanyooshea vidole mapolisi!Mitaa ya upanga imeanza kusikika kwamba anayeitwa Gaidi, ni muathirika wa dhuluma za polisi wetu. Polisi wajichunguze pia, badala ya kutisha watu mitaani na kukuza neno 'Ughaidi.'
Ndugu watateswa ili wasiseme hili, lakini linasikika mitaani kwetu!