Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Saa ngapi niweke alarm
Nitakupigia haina haja ya alarmSaa ngapi niweke alarm
Nenda nje uoneAsante kwa taarifa bro🙏
It is happeningSaa ngapi niweke alarm
Dah mbona siuoni mieIt is happening
Dah, pigeni pichamwezi unaonekana clear kabisa. Tukio lishaanza kuonekana.
Huu umee (mbuzi) mbona mwezi wenyewe ni mweupe kama maji?Naheshimu maoni yako expert wangu,kwetu sisi ni kushuhudia matukio mahimu ya kidunia
Mwezi unauona? 😀Dah mbona siuoni mie
Nmetoka nje siuoni au naishi kijijini sana 😃Mwezi unauona? 😀
kuna channel moja ya youtube inaitwa the lote tree sijui utakuwa unaifahamu, ni channel ya kiislamu ipo uingereza, humu wanazungumzia aya za quran na hadithi sahihi huku wakiunganisha na sayansi ni nzuri mno ukapata muda kaicheki, wana mkusanyiko wa videos wanazungumzia wanazipa jina Allah and the cosmos, humo wanazungumzia gravity na kursi na arsh, wanazungumia malaika na light speed, blackholes, white holes na baitur ma'amur na mkunazi, as'habul kafi na cryonics, historia ya dajjal na kisiwa chake na time travel na magnetic anomally, kubadilika kwa magnetic poles na kuchomoza kwa jua magharibi na mambo mengi tu,Kwa upande wa Uislamu hayo ni matukio makubwa ambayo Mwenyezi Mungu anaonyesha waja wake wapate kuzingatia na kujua kwamba hakika ipo siku moja huu ulimwengu utafikia mwisho,na dalili moja wapo za heka heka ambazo zitatokea siku ya kiama
Mfano katika mafundisho ya kiislamu tunaambiwa itafika kipindi jua litachomoza kutokea magharibi na hapo ujie siku ya kiama itakuwa imefika
Hata wanasayansi wana Sema ipo siku jua Lita expire na kupotelea mbali kabisa,maana kila kitu kina mda maalumu hapa duniani,mfano ukisoma kuhusiana na mambo ya galaxy utagundua kwamba kuna maelfu ya nyota ambazo zimekufa Mamilioni ya miaka iliyopita, kwahiyo hata hili jua ipo siku litafika mwisho
Kwahiyo kupatwa kwa jua na mwezi ni miongoni mwa alama za Mwenyezi Mungu kwa imani ya kiislamu,na ni dalili miongoni mwa dalili za kiama,kwahiyo kiimani ni matukio ya kuogopesha na inabidi tuswali swala maalumu kama kujikinga na kuepushwa na balaa
Ka picha basiNaona mapema tu ngoma imeanza kuiva taratibu.
...Ka picha basi
Hivi kumbe ni picha za mwezi ndio zinapaswa?Naona mapema tu ngoma imeanza kuiva taratibu.
Rudi nyumbani imetosha 😂😂Hivi kumbe ni picha za mwezi ndio zinapaswa?
Mimi jioni nilianza kupiga picha jua 🤣 🤣