Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

Simulia kwa kiswahili, waswahili tuelewe.
 
Hatar sana yetu macho
 
Hatar sana yetu macho
 
Hatar sana yetu macho
 
itabidi utabiri upite tu maana ,kwa mfano ungeibuka MWEZI MPYA mana yake ungeibuka uongozi mpya wa mwanamke mpya tena,baada ya ule mwezi wa kwanza kutiwa giza..
YANI ALLL IN ALL hata baada ya kupatwa kwa mwezi..ukiibuka mwezi mwingine mpya ,BADO UNAKUWA NI MPYA sio ule wa awali uliotiwa giza..

katika huu utabiri HINTS POINTS NI HIZI
MWEZI NA JUA ZOTE NI VIONGOZI WA NYOTA
Mwezi..moon(kiongozi mwanamke)
JUA sun (kiongozi mwanamume)

KUPATWA KWA JUA AU MWEZI(ZOTE NI TAFSIRI MBAYA SANA/zina maana UKOMO MWISHO WA UONGOZI ULIOPO NA KUZALIWA UONGOZI MPYA.
kupatwa kwa mwezi..kukomeshwa /ukomo/MWISHO wa uongozi wa mwanamke.
Kupatwa kwa jua kukomeshwa /mwisho wa uongozi wa mwanamume.
NI KITU KIBAYA SANA KUPATWA KWA MWEZI NA JUA ,kwa Tafsiri ya ROHONI.

Na ULIMWENGU WA KIROHO usio onekana ndio UNAOTAWALA ULIMWENGU wa nyama physical..ulimwengu unao onekana wa kimwili.
 
;B hata baada ya kupatwa kwa mwezi..ukiibuka mwezi mwingine mpya ,BADO UNAKUWA NI MPYA sio ule wa awali uliotiwa giza..

katika huu utabiri HINTS POINTS NI HIZI
MWEZI(Mama/mwanamuke kiongozi)

NA JUA (Baba/mwanamume kiongozi)
both JUA na Mwezi ZOTE NI VIONGOZI WA NYOTA nyota ni watoto/wana inji.

Mwezi..moon(kiongozi mwanamke)
JUA sun (kiongozi mwanamume)

KUPATWA KWA JUA AU MWEZI(ZOTE NI TAFSIRI MBAYA SANA/

zina maana UKOMO MWISHO WA UONGOZI ULIOPO NA KUZALIWA UONGOZI MPYA.

Baada ya JUA ama mwezi kutiwa giza/kufunikwa nuru yake/MENE MENE TEKELI NA PERESI yake..kufika ukomo.

Huibuka UPYA likiwa na nuru mpya/sasa KIROHO hilo linaloibuka upya likiwa na nuru HUWA NI JUA/MWEZI mpya sio ule wa awali uliofika ukomo/zimwa nuru yake.
 
Kwa kifupi ni hali ya mwezi katika kuzunguka mzunguko wake kuzuiwa /kutiwa kivuli na dunia inapozunguka jua/kujizunguaha hivyo kupelekea MWEzi kuishindwa kupokea mwanga wa jua kutoka kwenye jua/kutiwa kivuli na dunia ,ila kwa kuwa mzunguko unaendelea hili suala huchukua muda mcahche kadiri ya kasi ya mzunguko wa mwezi na dunia.(MASOMO YA JUOGRAFIA HUWA WANAFUNDISHA..wajukuu zetu na watoto wetu hawa wanafuzi wanaweza kutuelewwsha vizuri mana wao wanafundishwa shule haya masomo yao ya jiografia..kupatwa kwa mwezi na jua)
 
Attachments

  • What-Is-a-Lunar-Eclipse.png
    73.8 KB · Views: 21
  • images - 2025-09-07T225253.818.jpeg
    8 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…