Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya watakaopotea watakuwa wakiendesha vyombo vya moto vitakavyopata ajali baada ya wao kupotea ghafla wakati vikiwa kwenye mwendo mkali. Siku hiyo itatisha na itakuwa mwanzo wa mapigo yatakayofuata.
Walokole once again, walokole hawajawahi kuwa timamu akilini
Uko sahihi, neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi bali kwao wanaookolewa ni nguvu za Mungu.Walokole once again, walokole hawajawahi kuwa timamu akilini
Hadi wewe unakataa ujio wa unyakuo?Matatizo ya akili ya aongezeka kwa kasi.
Mwaka 3000 hauwezi kufika na pengine hata 2100 unaweza usifike.Yesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Ndio nimesoma mkuuUmewahi kusoma Mathayo 24? Vipi kule mtume Paulo kaandika ni kufumba na kufumbua tunabadilishwa na kumlaki Bwana mawinguni?
Mungu anaujua mwisho kwasababu yeye leo hii tayari anaona matukio ya mwaka 2030, 2050, 2100 nk. Anakuona utakavyokuwa unafanya maamuzi.Si tuliambiwa Mungu anaujua mwisho wetu kabla hata hatujazaliwa
Ninaamini uwepo wa Mungu, ninaamini uwepo wa siku ya hukumu... Lakini sikubaliani na mnavyopagawa na tafsiri ya Kitabu cha Daniel na Ufunuo. Uishi Ukristu wako vema. Inatosha.Hadi wewe unakataa ujio wa unyakuo?
Hakuna anayefahamu siku wala saa lakini Yesu Kristo alitaja dalili zitakazokuwepo. Unaweza kuzisoma kwenye mathayo sura ya 24 kwenye biblia takatifu.Kwa hiyo itakuwa ni lini?
SawaNdio nimesoma mkuu
Haya ameyasema Yesu Kristo kwenye Mathayo sura ya 24.Ninaamini uwepo wa Mungu, ninaamini uwepo wa siku ya hukumu... Lakini sikubaliani na mnavyopagawa na tafsiri ya Kitabu cha Daniel na Ufunuo. Uishi Ukristu wako vema. Inatosha.
Yesu nae alisema haijui hiyo siku, anaeijua ni Mungu tu. Sasa nyie mnaopiga ramli humu ina maana mnajua kuliko Yesu?Hakuna anayefahamu siku wala saa lakini Yesu Kristo alitaja dalili zitakazokuwepo. Unaweza kuzisoma kwenye mathayo sura ya 24 kwenye biblia takatifu.
Sisi tunaangalia dalili alizozitaja Yesu Kristo kwenye Mathayo sura ya 24.Yesu nae alisema haijui hiyo siku, anaeijua ni Mungu tu. Sasa nyie mnaopiga ramli humu ina maana mnajua kuliko Yesu?
Mungu anaujua mwisho kwasababu yeye leo hii tayari anaona matukio ya mwaka 2030, 2050, 2100 nk. Anakuona utakavyokuwa unafanya maamuzi.
Kwahiyo ni sahihi kumuomba atupe kufanya maamuzi sahihi.
Hakuna kitu chochote kipya kilichotokea siku za karibuni ambacho hakijawahi kutokea huko nyumaSisi tunaangalia dalili alizozitaja Yesu Kristo kwenye Mathayo sura ya 24.
Mwaka 2000 ulipokuwa unaingia walisema hivyo na watu kwa woga wao sijui ujinga waliweka stock ya maji mengi sana majumbani kwao na toilet paper ndio ilikuwa inaongoza kwa vitu walivyosomba madukaniHahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Kwani wewe huwazi hela? Bando unaloChat hapa umepiga mzinga mahali?Unanikumbusha Ile story ya Sabato masalia waliotaka kwenda kuhubiri marekani bila passport, visa wala pesa wakaishia Segerea ." Pesa ni suluhisho la mambo yote" , Mhubiri 10:19. Kutafuta pesa kwa njia halali haituzuii kuingia mbinguni🤔Watu wengi waliopo makanisani wataachwa, siku hizi wanawaza hela tu.