Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #61
AI, 3D printing na internet kwa ujumla inaenda kufanikisha aina nyingi sana za unabii ambao ulionekana hautaweza kutimia kipindi unatolewa.Kwa hiyo uzi wako umelenga tu kutukumbusha dalili hizi?
Mathayo 24
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Mfano wale manabii wawili watakaokuja halafu wauawe na biblia inasema miili yao itaachwa hapo huku dunia nzima ikiiangalia. Huu unaweza kutimia kwa TV na internet.
Mfumo wa kununua na kuuza utakaosababisha yeyote asiyekuwa na chapa/chip ya mpinga kristo kushindwa kupata mahitaji leo hii tunakaribia sana level hiyo kwa payment cards na online transactions