Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Ndugu yangu sidhani kama umepata waalimu sahihi wakufundishe neno la Mungu. Tafuta mafundisho ya Dr Myles Munroe na Kenneth Hagin angalau kwa kuanzia upate theology iliyo sahihi.
Wewe unajuaje kwamba theolojia yao ndio sahihi na yangu sio sahihi?
 
Hongera bwana engineer. Umesahau "people who are generally anxious about the future." Wewe ndio unaangukia hapo
I'm actually having a stable career. The truth is, I'm like father Abraham, having the luxuries of this life, I'm still waiting for the city that has foundations whose builder and maker is God.
 
Vipo vingi sana, AI, 3D printing na internet kwa ujumla inaenda kufanikisha aina nyingi sana za unabii ambao ulionekana hautaweza kutimia kipindi unatolewa.

Mfano wale manabii wawili watakaokuja halafu wauawe na biblia inasema miili yao itaachwa hapo huku dunia nzima ikiiangalia. Huu unaweza kutimia kwa TV na internet.

Mfumo wa kununua na kuuza utakaosababisha yeyote asiyekuwa na chapa/chip ya mpinga kristo kushindwa kupata mahitaji leo hii tunakaribia sana level hiyo kwa payment cards na online transactions..

Nk

"Hii chapa bila shaka ni Sigda maana mwisho hauji bila wanyesigda kui-kanka Dunia.😄
kahtaan
 
Hapana, kila mmoja pale alifanya maamuzi yake kwa jinsi alivyoona majibu ya Yesu Kristo kwa wale walinzi na waliomsulubu. Kila mtu alipima moyoni mwake.
Suala sio maamuzi waliyofanya pale, suala ni nini kiliwafikisha pale in the first place? Why walikua pale? Why walisulubiwa watu watatu at the same time? Why Yesu hakusulubiwa mwenyewe?Why jambazi 1 alianzisha mazungumzo? Why jambazi 2 alijibu? Je angekaa kimya ingekuaje?
 
Hahahahah movie zinakuchanganya

Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja

Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Haya mambo yameelezwa vizuri katika muktadha wa sinema kwenye series' moja inaitwa REVOLUTION, unaweza kuitafuta nadhani utapata jambo la kusimulia.

Angalia trailer yake hii hapa 👇🏾:

View: https://youtu.be/i_V-74WnzkI?feature=shared

Binafsi, bado siamini artificial natural revolution ambayo inaundwa ili kuwahadaa wana wa dunia na wale wa third world wawe waoga ili watawalike kiuwepesi sana.
 
Hakuna uchaguzi kabla ya kuzaliwa. Fursa ya kuchagua ipo kwasababu unao uhai huu na free will.
Chochote utakachokichagua, Mungu tayari alishajua utakichagua hicho. Na tayari anajua mpaka mwisho wa maisha yako utaenda wapi. Acha kujichosha
 
Suala sio maamuzi waliyofanya pale, suala ni nini kiliwafikisha pale in the first place? Why walikua pale? Why walisulubiwa watu watatu at the same time? Why Yesu hakusulubiwa mwenyewe?Why jambazi 1 alianzisha mazungumzo? Why jambazi 2 alijibu? Je angekaa kimya ingekuaje?
Kipindi kile kusulubiwa ilikuwa ni tukio la kawaida sana, nothing special. Watu wengi walikuwa wanasulubiwa pamoja. Kuwepo pale ilitokea tu.

Mimi ninaamini hata bila ya yale mazungumzo yule jamaa wa pili angeingia mbinguni maana alionesha kujutia makosa yake na kutubu kutoka moyoni.
 
Yesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari

Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Daah
 
I'm actually having a stable career. The truth is, I'm like father Abraham, having the luxuries of this life, I'm still waiting for the city that has foundations whose builder and maker is God.
Having a stable carreer notwithstanding, you are anxious about the future, or old.
 
Chochote utakachokichagua, Mungu tayari alishajua utakichagua hicho. Na tayari anajua mpaka mwisho wa maisha yako utaenda wapi. Acha kujichosha
Anajua lakini hakuchagulii, unachagua mwenyewe.
 
"Hii chapa bila shaka ni Sigda maana mwisho hauji bila wanyesigda kui-kanka Dunia.😄
kahtaan
Hilo liko wazi.
Uislam umeanza kusambaa kwa kasi sana huko huko ulikoanzia ugalatia.
Leo USA wanasilimu zaidi ya wakristo milion kila mwaka.
CNN inasema elf 30.
🤣

Sisi hatuna haraka.
Tunasubiri tu kuona Picha kamili
 
Unyakuo wa kwenda wapi? Si inapaswa kuwa kila jicho litamuona?
 
Hilo liko wazi.
Uislam umeanza kusambaa kwa kasi sana huko huko ulikoanzia ugalatia.
Leo USA wanasilimu zaidi ya wakristo milion kila mwaka.
CNN inasema elf 30.
🤣

Sisi hatuna haraka.
Tunasubiri tu kuona Picha kamili
Uislamu lazima ukue. Hawa ndio watajikusanya kutaka kupigana na Israel kwenye Armageddon halafu Yesu Kristo atashuka na kuwaangamiza.

Hata kwenye vita ya Gog na Magog waislamu ndio watakuwa mstari wa mbele lakini Yesu Kristo atawachukua na kuwatupa katika ziwa la moto.
 
Wacha wee... 😄😄 hii muvi itakua kali balaa..

Kwamba maadui wakishajikusanya Yesu atashuka kama Chuck Norris na kuangamiza maadui 😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom